Karibu tujuzane viungo vya chai ya rangi

Ok nimeelewa, ninayakausha Kwanza?
Sijawahi kunywa iced tea naisikia tu
26612C23-266D-44E9-AD43-4E2E93D460AA.jpeg
 
Karafuu+majani ya mparachichi
Tangawizi+Hiliki
Mdalasini + Tangawizi
Hiliki + Mdalasini+Mchaichai
Mchaichai + Mint+ mdalasini
Majani ya Mlonge+ Mchaichai + karafuu
Karafuu tupu
Mdalasini + pilipili manga
Majani ya limao+ majani ya mparachichi
Unga wa mbegu za parachichi + mdalasini
 
Karafuu+majani ya mparachichi
Tangawizi+Hiliki
Mdalasini + Tangawizi
Hiliki + Mdalasini+Mchaichai
Mchaichai + Mint+ mdalasini
Majani ya Mlonge+ Mchaichai + karafuu
Karafuu tupu
Mdalasini + pilipili manga
Majani ya limao+ majani ya mparachichi
Unga wa mbegu za parachichi + mdalasini
Duh si mchezo, majani ya parachichi?
 
Hii ni nzuri zaidi na hata ladha yake
1. Vitunguu swaumu
2. Pilipili manga
3. Mdalasini
4. Mafuta ya alizeti
5. Vitunguu maji..

Kaaanga mpaka viive kabisa viwe vya brown...halafu mimina maji yako chai.acha ichemke sana. Hapo tayari kwa kunywa.
 
Nikikuta mdada anajifunza kutaka kujua kupika kitu chchte namtamani najiskia kumtaka taka tuuu yani...

Andaeni jamani mi naenda kuleta kichujio..et kipo kabatini eeeh au kule nnje
 
Back
Top Bottom