Karibu Tuchati!

Karibu Tuchati!

Mom Fay

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,059
Reaction score
316
Usingiz Umeisha nani yupo macho tuchat!!.

kampani tu!*
 
haya lete habari usije? boa kama ghana walivyonikatia stim mpaka usingizi haupatikani tena
 
Wengine ni walinzi hatujui usingizi ni kitu gani
 
duuh kweli,kumbe tupo wengi!!.
 
dah kumbe penzi lina raha yake,saiz ungekuta namuamsha baby anibebishe nilale,ila sio mbaya wala nini,jf ndo kwenye hapa rahaaa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom