Karibu Tuchati!

Karibu Tuchati!

Wakuu mi usingiza umekata kabisa, kweli maumivu ya mpira ni makali sana zaidi ya maumivu ya mapenzi. Nateseka sana.
 
lazima kuzitambua kwanza medical au pschological causes zinazosababisha tatizo ndio ujue namna ya kupata treatment
 
kama kweli gegedo ni bonge la dawa ya usingizi, na wataalam wanadai ni effective kuliko dawa zote za usingizi, ina maana wengi mlio bundi muda huu hamkupata hiyo zoezi kabla ya kulala ama?
 
kama kweli gegedo ni bonge la dawa ya usingizi, na wataalam wanadai ni effective kuliko dawa zote za usingizi, ina maana wengi mlio bundi muda huu hamkupata hiyo zoezi kabla ya kulala ama?

hahahahaha!...ngoja wajibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom