Afya(ugonjwa) wa mtu ni siri yake unless aamue mwenyewe!
Kama amekuwa fit mbio za uraisi CCM sasa zinogile! Ila aangalie sana, CCM bwana kuna watu ambao si wema kabisa. Pamoja na madudu mengi ya CCM, huyu jamaa ni mojawapo ya watu ninaowaheshimu sana kwamba wako serious katika mambo ya kazi.

Prof. Mwandosya amewambia wabunge wasicheze na sekta ya afya,amewakumbusha kuwa kilimo na elimu si lolote kama mtu hana afya njema!amesema wabunge wabunge wasijisahau kuwa kuna maisha baada ya Bunge,ambapo huduma muhimu za afya hazitaghalamiwa na Bunge bali wao wenyewe...hivyo wanapaswa kuipigania huduma na sekta ya afya wakiwa bado Bungeni ili ije iwasaidie baada ya kuwa nje ya Bunge.
Mwisho amewashukuru Watanzania wote kwa kumtakia kheri,na amesema alipougua amegundua kuwa Wapinzani ni wenye upendo,mana hawakuangalia itikadi yake ktk kumuombea bali Utaifa wake kama Mtanzania
Kama amekuwa fit mbio za uraisi CCM sasa zinogile! Ila aangalie sana, CCM bwana kuna watu ambao si wema kabisa. Pamoja na madudu mengi ya CCM, huyu jamaa ni mojawapo ya watu ninaowaheshimu sana kwamba wako serious katika mambo ya kazi.
Hicho ni Kigiriki au kiyunani?Ubafiki Huu tusiwe washabiki this means nothing ...
Karibu tena baba baada ya kuugua zaidi ya mwaka....
Mungu ni Mkubwa na azidi kuaminiwa na kuabudiwa. Hivi punde, Samuel Sitta ameomba mwongozo wa Spika na kuomba Professor MWandosya ajitambulishe na kusalimia wabunge kwani sasa afya yake imerudi katika yake ya kawaida. Na kweli, kiongozi wetu huyu mpendwa akasimama na kwenda kwenye podium kwa ukakamavu kabisa na kutoa maneno machache ambayo kama kawaida, hufanya ukumbi husika utulie kama maji kwenye mtungi. Professor amewashukuru watanzania wote waliokuwa wanamuombea usiku na mchana, na vile vile Rais, makamu wa rais, na wabunge wa vyama vyote vya siasa. Baada ya kusalimia wabunge na kutoa shukrani zake, Mh Sitta akamuomba Mwandosya amsalimie Zitto kabwe on his way kwenda kuketi, na akafanya hivyo na kumpa mkono Mh. Zitto ambae nae akapata wasaa wa kumsalimia Mwandosya na kumkaribisha kama naibu kiongozi wa kambi ya upinzani.
Sala zetu mwenyezi mungu hakika amezisikiliza kwani ni jana tu tulikuwa tunamzungumzia hapa. Hatukukata tamaa, na faida yake tumeiona sasa. Tulimkosa kwa muda mrefu sana, lakini sasa tunae tena. Sala zetu zisiishie hapa, ziongezeke mara dufu kwani ndizo zitakazomlinda mzalendo wetu huyu na msomi ambae dunia nzima inamtambua na kumheshimu. Hakujatokea kipindi kingine ambacho tuna muhitaji Prof Mwandosya kama kipindi hiki. Najivunia kuwa CCM kwa sababu ya mtu huyu.
Karibu sana Professor Mwandosya, Tupo nyuma yako mpaka pale mwenyezi mungu atakapoamua vinginevyo.
"Amekuwa fit" alikuwa anaumwa nini?
Nani? Alhaji Zitto?''presidential hopeful'' ameshaanza press conference yake?........ndo saa tano hii
Hicho ni Kigiriki au kiyunani?
Karibu tena baba baada ya kuugua zaidi ya mwaka.... Karibu sana Professor Mwandosya, Tupo nyuma yako mpaka pale mwenyezi mungu atakapoamua vinginevyo.
namtakia afya njema.
Kama amekuwa fit mbio za uraisi CCM sasa zinogile! Ila aangalie sana, CCM bwana kuna watu ambao si wema kabisa. Pamoja na madudu mengi ya CCM, huyu jamaa ni mojawapo ya watu ninaowaheshimu sana kwamba wako serious katika mambo ya kazi.
Kama huna uhusiono jifunze kutumia vizuri hilo jina? upunguze utumwa wa fikra...Ni kigezo cha heshima tu kutokana na umri wake,ulitaka nimuite JEMBE?
Prof ni mtu makini hana makuu, makundi, siasa chafu, visasi, ni technocrat, mtekelezaji, mzalendo, ana uzoefu, mvumilivu na msikivu..huyu ndiyo Rais JMT inahitaji katika kipindi hiki cha historia yake.