Karibu Tangaaa

Tanga kubwa hebu taja eneo mahsusi manake ukienda Lushoto na kanga yako wafwa
 
Kuna binadamu wajinga sana, najua watakuja juta siku moja
 
Mimi nikiendaga horohoro lazima niende kwa fundi kwanza
Bila hivyo ukizama tu tanga unaweza usirudi tena
 
Kinachonifurahisha tanga ni zileee raha zake zile,hrf hakuna kibao cha kwa heri kipo cha karibu tanga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…