Karibu sana

Karibu sana

UGALI NA SUPU, umenikumbusha wakati na kaa na wakorea dodoma, nyama inachemshwa haiwekwi chochote ndo inaliwa kwa wali.
wanasema chukuchuku hiyo sio mchezo
 
Ugali wa mihogo na michuzi ya samaki wapi na wapi. Kitu dagaa, kweme, mtindi na nyama kavu. Unakula huku unaomba usisikie hodiiii....
 
attachment.php
 
Ugali wa Muhogo na Samaki chukuchuku.

Hapo najua ndimu imekolea haswa kwenye mchuzi ndipo utalifurahia bada.

Nimejisikia hamu ghafla, jamani
 
Nashangaaga sana kuwaona wanaume wamepanga foleni wanasubiri chips mayai tena za cafteria zilivyo mchinjo hata mi mwanamke sishibi sasa sijui wenyewe inakuwaje
Ndiyo maana upungufu wa nguvu za kiume limekuwa ni janga, mtu anakula chips mayai kisha anashushia na cola.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom