Hayo mambo ni.kama ujinga ctori ni.dogo wa kkoo aliyefanya utafiti leo leo na kutupa majb ww unaleta mambo gn hapa
mkuu muda wote sio siasa wakatimmwingine burudani.
Hapo ni ugali chengu manure
Ugali wa mhogo navyoupenda!Ila huo mchuzi bana, ni chororo mno.
niko vizuri chiefMzima lkn
niko vizuri chief
mkuu hilo shaka ondoa. kabla ya saa nne mkuu edo japo simkubali atakula yangu moja na nimemuandalia wengine zaidi ya kumi na tano.Nakuombea uwe hivyo mpk ck ya kikatio ukakate wajinga wa pale Lumumba
mkuu hilo shaka ondoa. kabla ya saa nne mkuu edo japo simkubali atakula yangu moja na nimemuandalia wengine zaidi ya kumi na tano.
mabadiliko sio lazima yaje na lowasa ila yataanzishwa na lowassa.
UGALI NA SUPU, umenikumbusha wakati na kaa na wakorea dodoma, nyama inachemshwa haiwekwi chochote ndo inaliwa kwa wali.hahahaha huo mchuzi balaa