Karibu saloon kwetu!!!!!!!!!!!!!!!!

Karibu saloon kwetu!!!!!!!!!!!!!!!!

Umejibu kwa haraka!Si ukubali we ndo unawanyoa hapo...Ka umiliki pekee; mbona nimekusikia unataka umnyoe Preta?!Au unaona aibu kujikubali kuwa mnatabia ya kunyoa kisangosangoma?

Mara nyingi ikija special order kama hiyo naifanya mimi.
 
Dushelele inagusa gusa mgongo,nani anataka hiyo
 
Nadhani wanawake au wasichana ndiyo wanakaribishwa zaidi.

wanawake kwani hao ni wanawake au madume? Kama ni madume naona walikuwa wamemaliza vile vitendo vilivyomfanya papa ajiuzuru. wamasai hii picha inawadharilisha muandamane kupinga picha hii
 
th

Sidhani kama hiyo saloon inanihusu...this is how i roll!!
 
Amekalia kigoda bhana, acha kumchafulia jina.
we huoni hapo alipokalia kumekaa flat kitu kinacho maanisha kuna kitu kiko juu ya huo mpini ambacho kiko flat.


Nijuavyo mimi mpini ni dushelele...sasa hapa kaukalia kiustaarabu ili usimwingie mpaka tumboni. Ila ni starehe yake na hapa anaonekana kuwa ana ujuzi wa kukalia vitu vyenye ncha, we cheki tu ---- lake lilivyo komaa.
 
Kwenye hii saluni yetu majungu, umbea, wizi wa mabwana Tupa kule.... Hapa kwetu kazi tuu majungu tunayapotezea!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom