Karibu saloon kwetu!!!!!!!!!!!!!!!!

Karibu saloon kwetu!!!!!!!!!!!!!!!!

Dah.Hawa kwanza wanatumia wembe mmoja..Afu nina mashaka wananyoana kotekote

Mteja ni mfalme, kama ameomba kunyolewa kote nikatae hela.
Mbona mtu anataka onyolewe ndevu unakubali kumyoa, wakati alikuja akitaka anyolewe nywele za kichwani?
 
Na ukikataa kulipa siraha ya kisasai imeegeshwa hapo !
Yaani hawa watu wamelazimishwa sana kuvaa nguo, maisha yao wao ni body suit tu!
Boflo ameiona hii saloon? nahisi ataipenda sana!
 
Last edited by a moderator:
Acha hizo, boss! Naamini atakutangazia biashara kutokana na huduma atakayopata.

Kama ni Preta nitamhudumia mwenyewe ila wateja wengine utawahudumia wewe.
Kaza moyo Bro.
 
Last edited by a moderator:
Kaza moyo taamuuuuuuuuuuu
hivi mkuu saudari niwe namsuka au kumnyoa preta na jinsi alivyo kweli mimi naomba mniandikie dhambi kabisa,na kama ni mtihani mwambie ndalichako wala asiusahihishe apige duara tu.nikikaza moyo hapa utapasuka.
 
Mpaka nikufanyie interview.
 
Mmmmmmmmmhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom