Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,521
- 13,999
Tunawakaribisha watu wote katika Hoteli yetu ya Penguin Resort Hoteli, ni eneo zuri lenye utulivu mkubwa na kuna huduma zote kuanzia Chakula,Vinywaji na malazi pia,bei ya chumba ni kuanzia elfu 35 pamoja na chai.Pia unaweza tembelea website yetu Penguin Resort Hotel Arusha Tanzania Tuna punguzo kubwa kwa watu wanaohitaji kukaa muda mrefu.Wasiliana moja kwa moja 027 2547711Hoteli ipo Sakina ni mita 900 toka Triple A Night Club.