Nafasi za kujiunga Form One-Westgate gils high school Kibaha

Nafasi za kujiunga Form One-Westgate gils high school Kibaha

beko

Senior Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
191
Reaction score
92
WESTGATE GIRLS HIGH SCHOOL - KIBAHA

WESTGATE Girls High School ni Shule ya sekondari ya wasichana ya bweni inatangaza nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2016. Westgate Girls High school ipo kibaha misugusugu mbele kidogo ya Kongowe. Shule inaendelea kupokea maombi ya kujiunga na form one,Interview za kujiunga zinaendelea kufanyika shuleni, Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na uongozi wa shule kwa nambari0757291698 au 0658075061 au 0785977488.

Mnakaribishwa wote WESTGATE GIRLS HIGH SCHOOL,
 
duh hilo jina la shule yenu linanikumbusha shambulizi la Kenya
 
Back
Top Bottom