Mamaa nilikuwa ninakutafuta, ninaomba recipe ya cat fish (kambale), nitataka kupika weeken hii kwa mara ya kwanza.Mahanjumati ya Angel Nylon chezea zenji eeh
Mamaa nilikuwa ninakutafuta, ninaomba recipe ya cat fish (kambale), nitataka kupika weeken hii kwa mara ya kwanza.
DuhHii nyama yako mbona imepasuka katikati
unafananaje ??Huo mkao wa hiyo nyama!!!
ahahaaa..nyama imekeketwaKumbe nyama ya kuku inaweza toa umbile pendwa! Asante kwa ubunifu. Ila kama imekeketwa vile!