Huseni Ali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 289
- 187
- Thread starter
- #41
Usisite kunitafuta. Nakupa Mzigo kwa Mujibu wa pesa yako
Karibu mkuuSawa mkuu tutawasiliana.
Naomba unijulishe utaratibu wakutoa mzigo kutoka huko hadi huku Tanzania na gharama za kodi ni kiasi gani?Buku mbili Kaka
Bila Shaka mkuu ntakutumia msg. Fanya subra kidogomkuu kuna thread mill machine za kufanyia mazoezi ya kukimbia nimeziona souq.com ,je unaweza kunichukulia nikaipokea dar?nipe utaratibu mkuu
Inategemea Mzigo gani ndugu na bidhaa gani pia.Naomba unijulishe utaratibu wakutoa mzigo kutoka huko hadi huku Tanzania na gharama za kodi ni kiasi gani?
Inategemea mkuu, vigezo na masharti huzingatiwaJe unalipa mzigo ukifika?au ndio mambo ya nitumie.
orodhesha bei za iphone zote hapa chini tafadhaliUsisite kunitafuta. Nakupa Mzigo kwa Mujibu wa pesa yako View attachment 1202130
Sawa boss kubwaorodhesha bei za iphone zote hapa chini tafadhali
Kwa bei hizi utauza sana mkuu, fanya umiliki fremu kuongeza uaminifu kwa wateja. Bei zako nzuri mno na imani mtu akinunua anapewa all accessories na warranty?IPhone
6, 64gb = 295000
6, 128gb = 325000
6s 32gb = 325000
6s, 64gb = 375000
6s, 128gb = 395000
7, 32gb = 470000
7, 128gb = 530000
7plus, 128gb = 800000
8plus, 64gb = 925000
X, 64gb = 1364000
X, 256gb = 1545000
Bei inapungua zaidi kuanzia simu 10.
Jibu message WhatsApp mzee.IPhone
6, 64gb = 295000
6, 128gb = 325000
6s 32gb = 325000
6s, 64gb = 375000
6s, 128gb = 395000
7, 32gb = 470000
7, 128gb = 530000
7plus, 128gb = 800000
8plus, 64gb = 925000
X, 64gb = 1364000
X, 256gb = 1545000
Bei inapungua zaidi kuanzia simu 10.
Tupo pamoja kila ktu kipo nduguKwa bei hizi utauza sana mkuu, fanya umiliki fremu kuongeza uaminifu kwa wateja. Bei zako nzuri mno na imani mtu akinunua anapewa all accessories na warranty?
Mambo mengi ndugu ntajibuJibu message WhatsApp mzee.
Dar ofisi ziko maeneo gani Boss.Tupo pamoja kila ktu kipo ndugu
Bei ya s7 edge mkuuMambo mengi ndugu ntajibu