Karibu Mkuu Wa NATO ,Mark Rutte Amuita Donald Trump" Daddy"

Karibu Mkuu Wa NATO ,Mark Rutte Amuita Donald Trump" Daddy"

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,102
NEW: Secretary General of NATO Mark Rutte refers to President Trump as ‘Daddy’ while Trump was talking about Israel & Iran’s peace deal.

Trump: They had a big fight. Like two kids in a schoolyard. Let them fight for about two minutes. Then it's easier to stop them.

Rutte: And then Daddy has to sometimes use strong language.
View attachment 3383827
 
Moderator:Tafadhali rekebisha "Karibu" iwe "Katibu" kwenye Title
 
Trump ni dishi lile muda wowote linayumba kwa hiyo hao wanaomwita hivyo wanafanya hivyo ili kwamba ile kauli ya ukila na kipofu usimshike mkono iendelee kutimia
 
Trump ni dishi lile muda wowote linayumba kwa hiyo hao wanaomwita hivyo wanafanya hivyo ili kwamba ile kauli ya ukila na kipofu usimshike mkono iendelee kutimia
Kama wafanyavyo Hawa machawa wa CCM Kwa Samia
 
Back
Top Bottom