Wadau wote wa hii site Napenda kuwajulisha kuwa mie ni mgeni ktk hii site, hvy naombeni Ushirikianoni wenu wa dhati km MAGREAT THINKERS ktk kupashana, kujadili nakudadavua mada mpya zinazogusa jamii yetu. viva Jf.
Karibu sana hapa ndio umefika jf ina kila kitu utapata maushauri mengi tu nawe usiache kutoa mawazo yako pindi uonapo post zinazokugusa/ zinazogusa jamii yetu . Tupo pamoja
Wadau wote wa hii site Napenda kuwajulisha kuwa mie ni mgeni ktk hii site, hvy naombeni Ushirikianoni wenu wa dhati km MAGREAT THINKERS ktk kupashana, kujadili nakudadavua mada mpya zinazogusa jamii yetu. viva Jf.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.