Karibu kwetu tukuyu!

Tukuyu pazuri bwana mi mara ya kwanza kwenda nilishangaa kuona jinsi kulivyo kuzuri yaani viwanja vya mchangani vya kucheza mpira ni sawa na kapeti la uwanja wa Taifa, ni kijani tuu, yaani we acha tuu.

Preta.....
safarini Tukuyu.....

Usisahau kupita daraja la mungu
 
hii imenikumbusha kijijini kwetu hapa kanda ya ziwa!

Unajua kuna vijiji ambavyo ukienda hapa BK unashindwa kuamini uzuri wa uumbaji, naona na Tukuyu inareflect kitu kile kile hasa hizi picha mbili, du!


Sasa fananisha hapa na Msoga utajua kwanini watu wanawaonea wivu watu wa huko na kuwafanyia roho ya korosho!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…