Karibu kwenye familia.

Amwit52

Member
Dec 18, 2011
59
7
Nimeanzisha familia ya chit - chat. Kama unapenda kujiunga orodhesha jina lako hapa tufanye uchaguzi wa nafasi mbali mbali.
 
wewe toto janja,
umepata kifungo cha nje,
hongera sana mkuu.

Sasa hiyo familia siku ukiwekwa ban itakuwaje,
si ndo itakuwa mwisho.
 
Nimeanzisha familia ya chit - chat. Kama unapenda kujiunga orodhesha jina lako hapa tufanye uchaguzi wa nafasi mbali mbali.

We ni bingwa wa dawa za maumivu(ID NYINGI)toa sababu za kuanzisha hiyo familia,na majina unayatakia nini?
 
Yaani wewe unatukuta nyumbani afu unaleta usela nondo??
Utafukuzwa tena.

Karibu hata hivyo, ngoja nikuchinjie hata kuku.
Ila hakuna kirunguri na kichuri, na ukileta fucho nakugecha. Amang'ana?
 
Nimeanzisha familia ya chit - chat. Kama unapenda kujiunga orodhesha jina lako hapa tufanye uchaguzi wa nafasi mbali mbali.

yaani ID zote ziko active! Kweli wewe mwita25 a.k.a. Amwit52
 
Yaani wewe unatukuta nyumbani afu unaleta usela nondo??
Utafukuzwa tena.

Karibu hata hivyo, ngoja nikuchinjie hata kuku.
Ila hakuna kirunguri na kichuri, na ukileta fucho nakugecha. Amang'ana?

Kufukuzwa kwenda wapi? Hivi ulishasema jinsia yako kwanza?
 
Nimepokea PM 16 za wana JF wakiomba kujiunga. Bado nafasi chache zimebaki.
 
Back
Top Bottom