Karibu kuosha gari dogo kwa 7000/=

Karibu kuosha gari dogo kwa 7000/=

You must be kiddin' hommie,wakati tunaosha 4000 tena na mashine (nje & ndani) na chuma linatoka mng'ao leo unasema 7000 ndio ya promotion khaaaa na siku hizi mvua inatupiga tafu angalau,cheki tena bei zako kaka vyuma vimekaza.
Maeneo gan hayo mkuu
 
Kuna ishu flan dem flan anayo inanuka sana...vp, nikimwambia ailete huko muioshe juu ya winchi mtamchaji sh.ngap?
 
You must be kiddin' hommie,wakati tunaosha 4000 tena na mashine (nje & ndani) na chuma linatoka mng'ao leo unasema 7000 ndio ya promotion khaaaa na siku hizi mvua inatupiga tafu angalau,cheki tena bei zako kaka vyuma vimekaza.
Uongo mbaya jamani kuosha gari ni buku ten. Nyie mnaoosha kwa buku nne gari zenu ndio zile zina harufu ya uvundo kama gari la mbolea
 
hizo car-wash za buku 4 zipo hapo hapo dar au!!? naona wengi mnasema 4000 ebu acheni utani nyie watu,

gari inaoshwa au inamwagiwa maji tu na kukung'utwa vumbi kwa hiyo 4000?[emoji20][emoji20]
 
Kweli mkuu sijawahi ona hiyo bei ya elfu 4
 
hizo car-wash za buku 4 zipo hapo hapo dar au!!? naona wengi mnasema 4000 ebu acheni utani nyie watu,

gari inaoshwa au inamwagiwa maji tu na kukung'utwa vumbi kwa hiyo 4000?[emoji20][emoji20]
Labda nahisi wanaoosha kwa mkono
 
Nna mashine yangu mkuu natafuta eneo la kufungua car wash na vijana wachapakazi
 
You must be kiddin' hommie,wakati tunaosha 4000 tena na mashine (nje & ndani) na chuma linatoka mng'ao leo unasema 7000 ndio ya promotion khaaaa na siku hizi mvua inatupiga tafu angalau,cheki tena bei zako kaka vyuma vimekaza.
Mkuu itakua kwa mkono
 
Back
Top Bottom