J.K.Rayhope
JF-Expert Member
- Oct 26, 2011
- 316
- 31
Miji na majiji yote yamechukuliwa labda waende mji wa Igunga.OK kwa hiyo mtapita mikoa yote kwa namna ya sherehe kama hizi za tarehe 05,02 tu kuwashukuru wananchi na hizo ngome nyingine mna mpango nani nazo eg Arusha, Mbeya etc au ndiyo mumezizira mnataka Mwanza tu
Nako situliambiwa hapa kuwa mbunge wao alizomewa mara mili huko hukoMiji na majiji yote yamechukuliwa labda waende mji wa Igunga.
OK kwa hiyo mtapita mikoa yote kwa namna ya sherehe kama hizi za tarehe 05,02 tu kuwashukuru wananchi na hizo ngome nyingine mna mpango nani nazo eg Arusha, Mbeya etc au ndiyo mumezizira mnataka Mwanza tu
Kutakuwa na posho? Usafiri je?? Na wali utakuwepo?? Na ulabu pia utakuwepo??
WanaJF,tuna furaha ya kukualikeni kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi kitaifa jijini Mwanza,tuna sababu nyingi za kuifanya sherehe hii hapa:
1.Kuwashukuru wananchi wa kanda ya Ziwa kwa kura walizotupigia ingawa hazikutosha.
2.Kuimarisha chama upya,kuleta mvuto mpya kwa wananchi na wanachama wa CCM kwa kanda ya Ziwa.
3.Kuwaeleza Watanzania namna tunavyoongozwa na mtu makini kabisa.
4.Kushirikiana na wanachama kuhakikisha 2015 majimbo yote 3(ILEMELA,NYAMAGANA,UKEREWE)yaliyotwaliwa na CHADEMA yanarudi CCM.
5.Kufufua na kuimarisha upya ngome yetu ya CCM ya kanda ya Ziwa.Ni mengi mno,kwa ufupi nawasilisha.
Kidumu CHAMA CHA MAPINDUZI
Msihofu,tutakuwa na ziara za kikanda na kwa miji mikubwa,CCM ni Chama Chenye Mtandao,tutafanya.TUMETHUBUTU,TUMESHINDWA NA TUNAJIPANGA UPYA
Kama kawaida,hatushindwi jambo
WanaJF,tuna furaha ya kukualikeni kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi kitaifa jijini Mwanza,tuna sababu nyingi za kuifanya sherehe hii hapa:
1.Kuwashukuru wananchi wa kanda ya Ziwa kwa kura walizotupigia ingawa hazikutosha.
2.Kuimarisha chama upya,kuleta mvuto mpya kwa wananchi na wanachama wa CCM kwa kanda ya Ziwa.
3.Kuwaeleza Watanzania namna tunavyoongozwa na mtu makini kabisa.
4.Kushirikiana na wanachama kuhakikisha 2015 majimbo yote 3(ILEMELA,NYAMAGANA,UKEREWE)yaliyotwaliwa na CHADEMA yanarudi CCM.
5.Kufufua na kuimarisha upya ngome yetu ya CCM ya kanda ya Ziwa.Ni mengi mno,kwa ufupi nawasilisha.
Kidumu CHAMA CHA MAPINDUZI
pamoja na sherehe watawajulisha wananchi harakati za kuvuana magamba zilivyo ngumuKuna umuhimu wa kufuja hela kusherekea wakati watu wakilia na
mfumuko wa bei na maisha magumu?
Au mna sherehekea jinsi watanzania wanavo teseka?
Kumbukeni mnako enda ni sehemu ambayo watu wengi wame funguka akili zao.
Sura ya CCM Mwanza inafanana na uwanja wa CCM Kirumba,Ali Hasani Mwinyi Tabora ambavyo vilijengwa kwa pesa na jasho la Watanzania wote na CCM kivitwaa kinyamela na kuvitelekeza.Jinsi vinavyoonekana hivi sasa ni kioo halisi jinsi gani CCM sasa inavyotazamika!.WanaJF,tuna furaha ya kukualikeni kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi kitaifa jijini Mwanza,tuna sababu nyingi za kuifanya sherehe hii hapa: