nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 940
Kwenye nyungo mbili za kwanza Ni mikusu halafu linafuata tangadasi(mnyeewa), halafu misasati, unarudi kwa mikusu tena!. Matunda ya asili kabisa!.Aisaee .. hayo matunda ni matunda gani hapo? hebu tupia majina....
Nashindwa kutofautisha mnadani Na sokoni
Wanapelekwa mnadani au sokoni mkuu
Hapa tumepelekwa. Chaka mkuu!! Hapo ni india,kuna maandishi hapo! Halafu angalia plate number ya gari
Wanapelekwa mnadani au sokoni mkuu
Transit mkuu!, picha kupigwa wapi sio tatizo!. Mbona mlima Kilimanjaro upo huku lakini wageni waendaga kule zaidiHapa tumepelekwa. Chaka mkuu!! Hapo ni india,kuna maandishi hapo! Halafu angalia plate number ya gari
Tembelea Buguruni sokoni na Pugu mnadani utaiona tofautiNashindwa kutofautisha mnadani Na sokoni
yanaliwajee?Kwenye nyungo mbili za kwanza Ni mikusu halafu linafuata tangadasi(mnyeewa), halafu misasati, unarudi kwa mikusu tena!. Matunda ya asili kabisa!.
Mikusu inaliwa kwa kuipasua Na kufyonza maji yake (Ni mazito flani hivi), kwa ndani yake Kuna vipeke viwili(mbegu), unavitema, minyeewa(matangadasi), Ni Kama matunda Fulani ya pwani yaitwa mabungo,(Ni jamii moja ila yana radha tofauti), misasati yenyewe ina nyama kidogo kwa sababu peke lake (mbegu) inakaribiana ukubwa Na tunda lote, Ni Kama asilimia 95 ya tunda inachukuliwa Na hilo peke, kwa hiyo unatupia mzima mzima halafu unamung'unya taratiibu, itapopoteza radha basi unatema peke Na kurushia jingine mdomoni, radha yake Ni ya kuchomachoma Kama mint Ile ya kwenye big G,yanaliwajee?
Hapana wanapelekwa machinjioni mkuu
Wanapelekwa mnadani au sokoni mkuu
Kwani India hakuna iringa?Hapa tumepelekwa. Chaka mkuu!! Hapo ni india,kuna maandishi hapo! Halafu angalia plate number ya gari
Jasiri haachi asili[emoji16] [emoji16] [emoji16]Du, wanyalu kumbe bado hamjaacha asili yenu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]