Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

Nataka kusomea mambo ya magari short course lakini... Nipewe cheti cha udereva af niwe fundi wa gari... Course gan itanifaa
 
Hivi nit na mocu wapi wapo. Vizuri kwenye issue za marketing msaada jamani
Njoo nit coz ya markerting ipo full package,utasoma na public relation pia ambayo itakusaidia both side yan markerting na public relation unlike vyuo vingine vinatoa markerting na madude fulan ambayo hayakupi full package ya marketing, mie ngazi ya degree pale... Karibu sana marketing bonge la proffesion
 
Mbona chuo chenu ni kichafu sana kama magofu? yani kimekaa kama soko vile....
Pia kozi gani hapo inato watu wanaouzika?
Chuo chetu kipo karibu na soko maarufu dar es salaam kama "Mahakama ya ndizi" hence huo unaoita uchafu....Majengo chakavu ni serekali ya mkuu baba kiongoziz wa malaika kuweka nguvu nyingi kwenye bombadia na chato international airport na kusahau elimu,Elimu bora inapatikana hapa amini....au unataka majengo mazuri alafu elimu iwe mbovu....?sisi tumechagua kinyume
 
Nataka kusomea mambo ya magari short course lakini... Nipewe cheti cha udereva af niwe fundi wa gari... Course gan itanifaa
Hizo course ni separate. Utasoma Aútó mechanics kama ww ni beginner kwenye ufundi magari na pia itabidi usomee na udereva. Ila hakikisha una leseni clàss D yenye miaka 2 kabla hujasoma udereva
 
Habari za Asubuhi wadau ...
Nahitaji assistance ya taarifa au procedures to be done, Nina Gari Toyota Dyna box body, gari hii inatumia gas (LPG). Nataka kufanya modification and/or inspection kama this car will be OK to be used bila bugdha ya traffic Police. nimeelekezwa na mtu mmoja kua NIT wanaweza kunisaidia.. and sijajua how to start.

Regards . .
Maslino.
0754018028
 
Kuna wakati natamani sana kuja kuongeza Elimu yangu ya Udereva hapo NIT tatizo nina Elimu ya Darasa la 7 Niishia Form Three mzee akachemka kunisomesha ndiyo maana nasema ni la saba najua haitanisadia lolote Serikali na mashirika mbalimbali wanaajili wenye Elimu ya kidato Cha nne sasa mimi hicho cheti si kitaozea Ndani bila kazi.
 
Yap! ni kweli lile jengo zuri sanaa.. swala la usalama likoje hapo? maana chuo kimepakana na Manzesa na upande wa kule hauna uzio kabisaa ambapo kuna hostel za Men and Girl...

Pia kozi gani, inayotolewa hapo ni marketable zaidi..>

Alafu Best student hua wanapewa favour gani hapo?
Aircraft and Mantainance Engineering
 
Back
Top Bottom