Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,458
Reaction score
986
Kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Chuo cha Usafirishaji cha Taifa kimepewa dhamana ya kuendesha mafunzo ya kozi mbalimbali kuhusu usafiri na usafirishaji pamoja na kozi kuhusu wahudumu wa ndege kuanzia ngazi ya cheti hadi ngazi ya juu.



Ukiwa mwanafunzi wa NIT unaweza kuwa sehemu ya kukisaidia chuo kuwa na mafanikio bora. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Chuo cha Usafirishaji cha Taifa.

======================================
======================================
Tovuti ya Chuo: http://www.nit.ac.tz/
 
habari za asubui wakuu naitaji kujiunga na chuo cha usafirishaji ila cjui wapi nianzie wenye taarifa kuhusu N I T anisaidie wakuu
 
ungefafanua mkuu kwamba unataka ukajiunge na course gan but kwa kukurahisishia kama upo dsm au maeneo ya karibu fika pale chuoni watakupa maelezo zaid.
 
Wakuu salama ?
Naombeni ushauri wenu juu ya Ubora wa chuo cha NIT kitaaluma hasa katika michepuo ya Biashara kwani nataka kuomba nisome Post Graduate Diploma in Procurement and SUPPLY Chain Management katika chuo hicho.
karibuni wadau mnisaidie kimawazo.
 
wewe piga mitihani ya bodi ya wagavi kaka, kwani huko pia wanafanya Research. Itakujenga kitaaluma na kiuchumi pia mkuu.
Hiyo post piga baada ya kumaliza mitihani ya bodi.
 

NIT moja ya chuo bora kisicho thaminiwa. ...nenda mkuu utafaidika!
 
Jamani naombeni mnitumie account namba ya chuo cha NIT ya benki ya NMB
 
Jamani naombeni mnitumie account namba ya chuo cha NIT ya benki ya NMB
Nyie vijana wa leo sjui elimu mnataka kuipeleka wapi. Haya hizi hapa NIT Economic Project: NMB-20501100008 au CRDB(foreign acc.) 02J109593402
 
ulipata wapi watokeo kama umechaguliwa au uliangalia kwenye airtel yatosha..
 
Mtoa mada mbona NIT hawajatoa majina? Wewe uliyapata wapi? Hebu tujuze nasi tulioomba hapo!
 
itakuwa kwa ile huduma ya airtell maana hata mm niliona kuchaguliwa ktk hicho chuo #prince

bt majina hayajatoka rasmi xo tuvuten subira
 
Nadhani ni "National Institute of Transport" hapo. Mbona hamtoi/hawatoi mafunzo ya waendesha pikipiki?

Maana majanga wanayopata na wanayosababishia wengine ni makubwa....
 
Mbona chuo chenu ni kichafu sana kama magofu? yani kimekaa kama soko vile....
Pia kozi gani hapo inato watu wanaouzika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…