Kariakoo na Mwenge kuna warembo ila wapo busy hatari unashindwa uanzie wapi kuwatongoza

Sijajua fika malengo yako ya kutupia ndoano ni yapi, kupata mwanamke wa kuja kuwa mke wako au kufanya uzinzi.

Kama ni kutafuta mke ongeza bidii ila kama ni uzinzi hiyo biashara hailipi, ni ujinga na kukosa kazi.
 
Jamani wana MMU uongo mbaya dar ukitaka warembo wakila aina basi uwende kariakoo mtaa wa Congo, Agrey na mtaa wa msimbazi, ila kwa mwenge nyakati za jioni pale stendi Jamani ni tuache masihara watoto wazuri balaa, tatizo moja tuu kila ukijaribu unaonekana tapeli, hakuna anaekwamini hata kidogo.
nowadays hakuna anaeaminika pale ktk hayo maeneo. Jana Leo na siku zote zilizopita huwa najaribu sana ndowano ila unaonekana tapeli. Nyie mliofanikiwa kuopoa warembo mitaa hiyo tupeni mbinu mbadala aisee.
ONGEA NAWO VIZURI TWO WATA KUELEWA
 
Kabla ujajibiwa we ni mwanaume wa dar au wa Mkoani?
 
Jamani wana MMU uongo mbaya dar ukitaka warembo wakila aina basi uwende kariakoo mtaa wa Congo, Agrey na mtaa wa msimbazi, ila kwa mwenge nyakati za jioni pale stendi Jamani ni tuache masihara watoto wazuri balaa, tatizo moja tuu kila ukijaribu unaonekana tapeli, hakuna anaekwamini hata kidogo.
nowadays hakuna anaeaminika pale ktk hayo maeneo. Jana Leo na siku zote zilizopita huwa najaribu sana ndowano ila unaonekana tapeli. Nyie mliofanikiwa kuopoa warembo mitaa hiyo tupeni mbinu mbadala aisee.
Tembea na begi la hela mkuu
 
uzuri wa dar warembo kukataa ni noo, ni kama nairobi vile au south africa, yani sex ishakuwa kana ni chakula tu mtu haoni tabu kukunyima, hela yako tu,
Ila tatizo ni namna gani kukwamini coz mwanzo mgumu sanaa
 
Sijajua fika malengo yako ya kutupia ndoano ni yapi, kupata mwanamke wa kuja kuwa mke wako au kufanya uzinzi.

Kama ni kutafuta mke ongeza bidii ila kama ni uzinzi hiyo biashara hailipi, ni ujinga na kukosa kazi.
Ewalaaaaaa Mke wa kuoa kabisa mkuu lakini lazima uanze na moja kumpata kuwa nae kumjua hivyoo ndio maana nasema namna ya kuanza ktk maeneo hayo ili akuone nimtu salama
 
Ila tatizo ni namna gani kukwamini coz mwanzo mgumu sanaa
unajishtukia mkuu, wee mtoe tafuta eneo pateni japo lunch or chai atakuja mwenyewe mnamalizana hapo hapo, mie hata nikikutana kwenye daladala namalizana nae hapo hapo na hasa tukae siti 1, kama nimemind narekebisha hapo hapo akitoa namba ya simu basi jioni ni mahesabu,
 
Back
Top Bottom