Kariakoo msimu huu wa sikukuu hapapitiki

Kariakoo msimu huu wa sikukuu hapapitiki

Nikawaida kwa siku za sikukuu hasa za eid huwa watu wanakuwa wengi sana mie nilipita na nilitaka kwenda maeneo ya ufundi kilwa road ila barabara ilivyokuwa imejaa watu nikabadilisha mwelekeo maana kero yake si ndogo.

[emoji122][emoji122][emoji122]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom