Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Tupeleke Watalii hapo kwenue hilo songombingo.
Wakuu kwema?
Leo nimepita kkoo kufanya manunuzi ya sikukuu! Aiseee kwanza kkoo imebadilika sana kwa Maana ya maghorofa mapya kila kona, nimeambiwa wakinga ndiyo wanaonunua nyumba Na kuporomosha maghorofa lakini pia nyomi iliyokuwepo kule ni balaa! Hapapitiki aisee. Kila kitu kinauzwa kule yaani hakuna unachoweza kukosa kkoo ila tatizo ni hiyo nyomi. Kila mtaa uko busy balaa. Nashauri angalia Kwa hii clip yangu hapo chini then ndo uamue kama unaenda kkoo au utasubiri kwanza hadi sikukuu zipite. Nawasilisha.

Unajiona una akili sana lakini bado sana bwana mdogoMkuu una mawazo mgando sana! Uelewa wako ni mfinyu sana, hilo sio tangazo! Nime share taarifa ya kile nilichokiona kkoo ili kutoa mwanga Kwa wote wenye matazamio ya kwenda kkoo kwa sasa.
Unatufanya kama wote tumetoka nanjilinji huko ndio mara ya kwanza kufika Dar,we sema unataka views tu kkoo haijaanza kujaa leo wala hayo magorofa hayajaanza kujaa leo!
Mkuu, Je kule gerezani wanako uza ma vyuma nako hakupitiki ? Yaan nako kuna nyomi ?
Kuna dada kapita hapo dah!
Pole mkuu kwa changamoto
Wakuu,
Kariakoo ilikuwa Chafu sana kipindi cha nyuma. Lakini sasa hivi barabara ni safi mno! Mandhari ya kariakoo yanavutia sana. Kwa wingi ule wa watu unaweza ambapo kila mtu Ana ustaarabu wake unaweza tegemea kukuta mji ukiwa hoi kwa uchafu kila kona lakini badala yake kariakoo Kwa sasa ndiyo inaongoza kwa usafi kuliko hata POSTA. Kuanzia hapa kituoni fire kuja mpaka huku karikati kabisa karibu Na soko kote ni kusafi mno. Bravo kwa halmashauri.
Nawasilisha.
Umewekewa video clip. Angalia, utajua ni Kariakoo ya wapi bwasheee.Kariakoo ya kule tandamti na sikukuu au ile pale udsm au ile ya Lindi?😂