menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 667
Wakuu kwema?
Leo nimepita kkoo kufanya manunuzi ya sikukuu! Aiseee kwanza kkoo imebadilika sana kwa Maana ya maghorofa mapya kila kona, nimeambiwa wakinga ndiyo wanaonunua nyumba Na kuporomosha maghorofa lakini pia nyomi iliyokuwepo kule ni balaa!
Hapapitiki aisee. Kila kitu kinauzwa kule yaani hakuna unachoweza kukosa kkoo ila tatizo ni hiyo nyomi. Kila mtaa uko busy balaa.
Nashauri angalia Kwa hii clip yangu hapo chini then ndo uamue kama unaenda kkoo au utasubiri kwanza hadi sikukuu zipite. Nawasilisha.