Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,630
- 2,738
Muhimu ni kwa wenye maduka kukata bima ya moto hii itawasaidia pindi majanga kama haya yanapotokea.
Dah...afadhali sana. Maana kwa jinsi taarifa zilivyoletwa nikajua ni kariakoo yoteNi duka moja tu ndiyo limewaka moto mtaa wa Congo jengo la DDC kikosi cha zimamoto wamefika kuzima moto bahati mbaya duka limeteketea lote.
kwingine wapi tena?Siku ya moto leo