mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,344
- 12,472
Mbona hata simba Hana amsha amsha tulizozizoea?Unataka utangaziwe na nani wakati ratiba unaijua?, yanga unataka wafanyeje?. Hili wanalpfanya yanga ni matokeo ya alichofanya simba huko nyuma... Kila mmoja apromote mechi yake.
3-0Mechi ishachezwa natazama marudio hapa...yanga afirika kapigwa
Tff wamesema ingieni kwenye mfumo mkate tiketi na kuhusu hamasa yanga wameamua kukaa kimya baada ya wa wachezaji wao kutukanwa na mashabiki wa simba hivyo naye simba kakosa hamasa.Habari za muda huu wadau
Napenda kuuliza wataalamu wa mambo derby ya jumamosi ipo kwelii?? Simba ambao ni wenyeji hadi muda huu hawajatangaza viingilio halafu promo ni ndogo sio kama miaka yote na timu mgeni yaani yanga wao wapo kimya na hapo ni bado siku tatu,,je derby ipo kwelii au washaahirisha??tunaomba maoni
NB.TFF Nako hawajatoa majina ya waamuzi
Simba na yanga toka zamani walikuwa wanacheza bila prom9, wanaojifanya wanapiga promo wanatafuta umaarufu kupitia derbyJapo Simba ndio walianzisha mtindo wa kukataa kufanya promotion lakini mashabiki wao wana utamaduni wa kwenda/wanapenda kwenda utamaduni uwanjani hata wasipohamasishwa. Uwanja utajaa hata bila promotion
Linda mgongo wako kama bado upoMechi ishachezwa natazama marudio hapa...yanga afirika kapigwa
Japo Simba ndio walianzisha mtindo wa kukataa kufanya promotion lakini mashabiki wao wana utamaduni wa kwenda/wanapenda kwenda utamaduni uwanjani hata wasipohamasishwa. Uwanja
Mtani safari hii sikuachi lazima nikupelekee motroooooooLinda mgongo wako kama bado upo