Kwa vitendo hivi vya rushwa na uvunjifu wa katiba sidhani km mungu atapokea hayo maombiWatanzania wote bila ya kujali itikadi zetu tumuombee Rais Magufuli kwani anayo nia ya dhati ya kulivusha taifa letu..
Wanaomdhihaki ni mafisadi...
Am sorry PengoASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka Watanzania kuzidi kumuombea Rais John Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya. Kardinali Pengo alisema hayo alipokutana na waandishi wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam hivi karibuni.
Alisema mambo anayoyafanya sasa Rais Magufuli yana manufaa makubwa kwa Watanzania na kusisitiza kwamba ni viongozi wachache duniani wenye ujasiri wa kufanya hivyo. Kardinali alisema kutokana na kutumbuliwa majipu kwa watu ambao walikuwa ni kikwazo kwa maendeleo ya Watanzania, kiwango cha ubinafsi kinaendelea kupungua kwa kiasi kikubwa.
Alitoa rai kwa Watanzania kuwaombea viongozi wa nchi ili waimarishwe katika kuleta maendeleo ya taifa. “Tunahitaji kuiombea Serikali na tuiweke mikononi mwa Mwenyezi ili viongozi wake waimarike katika kuleta maendeleo kwa taifa letu,” alisema Kardinali Pengo.
Katika mkutano huo, Kardinali alitangaza Parokia teule sita kuwa Parokia kamili, ikiwemo ya Kijitonyama iliyokuwa ni Kigango cha Parokia ya Mwananyamala, hivyo kufanya parokia za Jimbo Kuu Dar es Salaam kufikia 95.
Mbali na Kijitonyama, nyingine ni Mtakatifu Rita Temboni, Msakuzi, Mbande, Mshikamano na Michungwani iliyoko Kimara. Mapema mwaka jana, alipokutana na Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Pengo alisema anamwomba Mungu amwezeshe kusimika parokia 100 za jimbo lake katika uhai wake. Kwa sasa zipo parokia teule nyingine sita ambapo zikikamilisha mahitaji yote, zinaweza kutangazwa parokia kamili ndani ya mwaka huu.
Polycarp ni Mnafki.ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka Watanzania kuzidi kumuombea Rais John Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya. Kardinali Pengo alisema hayo alipokutana na waandishi wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam hivi karibuni.
Alisema mambo anayoyafanya sasa Rais Magufuli yana manufaa makubwa kwa Watanzania na kusisitiza kwamba ni viongozi wachache duniani wenye ujasiri wa kufanya hivyo. Kardinali alisema kutokana na kutumbuliwa majipu kwa watu ambao walikuwa ni kikwazo kwa maendeleo ya Watanzania, kiwango cha ubinafsi kinaendelea kupungua kwa kiasi kikubwa.
Alitoa rai kwa Watanzania kuwaombea viongozi wa nchi ili waimarishwe katika kuleta maendeleo ya taifa. “Tunahitaji kuiombea Serikali na tuiweke mikononi mwa Mwenyezi ili viongozi wake waimarike katika kuleta maendeleo kwa taifa letu,” alisema Kardinali Pengo.
Katika mkutano huo, Kardinali alitangaza Parokia teule sita kuwa Parokia kamili, ikiwemo ya Kijitonyama iliyokuwa ni Kigango cha Parokia ya Mwananyamala, hivyo kufanya parokia za Jimbo Kuu Dar es Salaam kufikia 95.
Mbali na Kijitonyama, nyingine ni Mtakatifu Rita Temboni, Msakuzi, Mbande, Mshikamano na Michungwani iliyoko Kimara. Mapema mwaka jana, alipokutana na Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Pengo alisema anamwomba Mungu amwezeshe kusimika parokia 100 za jimbo lake katika uhai wake. Kwa sasa zipo parokia teule nyingine sita ambapo zikikamilisha mahitaji yote, zinaweza kutangazwa parokia kamili ndani ya mwaka huu.
Tmuombeeee. Duh! Kwani ni mgonjwa? Taarifa jamani mwenye nayo kama ni mgonjwa.ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka Watanzania kuzidi kumuombea Rais John Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya. Kardinali Pengo alisema hayo alipokutana na waandishi wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam hivi karibuni.
Alisema mambo anayoyafanya sasa Rais Magufuli yana manufaa makubwa kwa Watanzania na kusisitiza kwamba ni viongozi wachache duniani wenye ujasiri wa kufanya hivyo. Kardinali alisema kutokana na kutumbuliwa majipu kwa watu ambao walikuwa ni kikwazo kwa maendeleo ya Watanzania, kiwango cha ubinafsi kinaendelea kupungua kwa kiasi kikubwa.
Alitoa rai kwa Watanzania kuwaombea viongozi wa nchi ili waimarishwe katika kuleta maendeleo ya taifa. “Tunahitaji kuiombea Serikali na tuiweke mikononi mwa Mwenyezi ili viongozi wake waimarike katika kuleta maendeleo kwa taifa letu,” alisema Kardinali Pengo.
Katika mkutano huo, Kardinali alitangaza Parokia teule sita kuwa Parokia kamili, ikiwemo ya Kijitonyama iliyokuwa ni Kigango cha Parokia ya Mwananyamala, hivyo kufanya parokia za Jimbo Kuu Dar es Salaam kufikia 95.
Mbali na Kijitonyama, nyingine ni Mtakatifu Rita Temboni, Msakuzi, Mbande, Mshikamano na Michungwani iliyoko Kimara. Mapema mwaka jana, alipokutana na Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Pengo alisema anamwomba Mungu amwezeshe kusimika parokia 100 za jimbo lake katika uhai wake. Kwa sasa zipo parokia teule nyingine sita ambapo zikikamilisha mahitaji yote, zinaweza kutangazwa parokia kamili ndani ya mwaka huu.
Pengo nae kumbe ni Askof muuaji kama waujiwengine!ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka Watanzania kuzidi kumuombea Rais John Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya. Kardinali Pengo alisema hayo alipokutana na waandishi wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam hivi karibuni.
Alisema mambo anayoyafanya sasa Rais Magufuli yana manufaa makubwa kwa Watanzania na kusisitiza kwamba ni viongozi wachache duniani wenye ujasiri wa kufanya hivyo. Kardinali alisema kutokana na kutumbuliwa majipu kwa watu ambao walikuwa ni kikwazo kwa maendeleo ya Watanzania, kiwango cha ubinafsi kinaendelea kupungua kwa kiasi kikubwa.
Alitoa rai kwa Watanzania kuwaombea viongozi wa nchi ili waimarishwe katika kuleta maendeleo ya taifa. “Tunahitaji kuiombea Serikali na tuiweke mikononi mwa Mwenyezi ili viongozi wake waimarike katika kuleta maendeleo kwa taifa letu,” alisema Kardinali Pengo.
Katika mkutano huo, Kardinali alitangaza Parokia teule sita kuwa Parokia kamili, ikiwemo ya Kijitonyama iliyokuwa ni Kigango cha Parokia ya Mwananyamala, hivyo kufanya parokia za Jimbo Kuu Dar es Salaam kufikia 95.
Mbali na Kijitonyama, nyingine ni Mtakatifu Rita Temboni, Msakuzi, Mbande, Mshikamano na Michungwani iliyoko Kimara. Mapema mwaka jana, alipokutana na Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Pengo alisema anamwomba Mungu amwezeshe kusimika parokia 100 za jimbo lake katika uhai wake. Kwa sasa zipo parokia teule nyingine sita ambapo zikikamilisha mahitaji yote, zinaweza kutangazwa parokia kamili ndani ya mwaka huu.
Mkuu, punguza ukali wa maneno. Pengo anafanya kulingana na nafasi yake. Kwani kwa mujibu wa mafundisho ya kikatoliki, hata adui anapaswa kuombewa. They don't believe in retribution.Pengo ni pengo kama jina lake,sijawahi kumwamini,halafu mwanadamu jifunzeni kuwadharau watu kama Pengo ambao si watu sahihi kuwa watumishi wa Mungu
Ni sawa na kuuliza kama kanisani pia wapo wenye dhambi!Kumbe hata Kanisani wapo wanafiki!!!?