fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,750
- 7,459
Sijawahi kufika karatu kwa siku za karibuni.Timu za taifa 3 zitakuwa hapo kucheza michezo ya cecafa,naulizia kwa mliopo huko,je kuna hoteli zenye hadhi kupokea ugeni mkubwa huo?
Nilipita hapo mara ya mwisho mwaka 2001, miaka hiyo palikuwa hovyo sana ila naskia pamebadilika mno.Sijawahi kufika karatu kwa siku za karibuni.Timu za taifa 3 zitakuwa hapo kucheza michezo ya cecafa,naulizia kwa mliopo huko,je kuna hoteli zenye hadhi kupokea ugeni mkubwa huo?
True. Watalii wanaoeenda ngorongoro na Serengeti wanalala karatu. Kuna lodge za nyota tatu zaidi ya 80.Karatu ipi unaizungumzia hoi karatu ilyojaa mahoteli maku wa ya kitalii au karatu nyingine??? Pale karatu kabury tu Ana lodge 3 za hadhi ya nyota 3! Karatu kuna hotel kali za kitalii kuliko hats Singida, Tabora na Shinyanga combined
Hata hivyo baada ya kuangalia miundo mbinu ya Karatu, timu ya Harambee Stars imejiondoa hivyo watarejea nchini Kenya leo na kuendelea na maandalizi ya CHAN.
karatu boys, wazee wa koti la suti jeusi na tai.Nilisoma advance hapo Karatu boys, hotel zipo nyingi tu pembezoni ya mji za kitalii.
Karatu kuna hadi Hotel za Nyota tatu na nyota tano na Hotel za Kitalii za kutosha kabisa. timu ziende tu.Sijawahi kufika karatu kwa siku za karibuni.Timu za taifa 3 zitakuwa hapo kucheza michezo ya cecafa,naulizia kwa mliopo huko,je kuna hoteli zenye hadhi kupokea ugeni mkubwa huo?
Hoteli za nyota 3 Zaidi ya 80 Karatu?True. Watalii wanaoeenda ngorongoro na Serengeti wanalala karatu. Kuna lodge za nyota tatu zaidi ya 80.
HahahaHoteli za nyota 3 Zaidi ya 80 Karatu?
Zitaje Hizo Hoteli za nyota 3 tuone, taja 15.
Hoteli zipo lakini usiseme za nyota 3 ziko zaidi ya 80.
Unaijua karatu ya Mkoa wa Arusha au unasikiagasiakiaga ,Karatu ni mji mwingine zadi hata ya dodoma ,Mbeya na Mwanza Hiyo mikoa haioni NdaniSijawahi kufika karatu kwa siku za karibuni.Timu za taifa 3 zitakuwa hapo kucheza michezo ya cecafa,naulizia kwa mliopo huko,je kuna hoteli zenye hadhi kupokea ugeni mkubwa huo?
watu wanaleta mzaha kwa hoja yangu iliyotaka kuelewaKaratu kuna hadi Hotel za Nyota tatu na nyotbasi safi sana timu zishafikaa tano na Hotel za Knaletabutani badala ya kutoa majibuitalii za kutosha kabisa. timu ziende tu.
Nimeangalia trip advisor zipo nyingi 3 star, maybe 80 nimeexgrateHoteli za nyota 3 Zaidi ya 80 Karatu?
Zitaje Hizo Hoteli za nyota 3 tuone, taja 15.
Hoteli zipo lakini usiseme za nyota 3 ziko zaidi ya 80.
ok asanteNimeangalia trip advisor zipo nyingi 3 star, maybe 80 nimeexgrate