Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,902
- 6,226
Nguvu zako tu,unaweza tafuna hata 5 kwa sikuTotoz je?
Nguvu zako tu,unaweza tafuna hata 5 kwa sikuTotoz je?
Wairaqwi tena, hawana noma haoNguvu zako tu,unaweza tafuna hata 5 kwa siku
Mkuu hoja yako ni hoteli au sehemu hipo hovyo? Tanzania hii sehemu zote wanazoishi Wananchi ni za hovyo, ila sasa sehemu wanazofikia Wazungu kuja Holliday ni sehemu nzuri na zenye ubora wa Kimataifa, Kule Zanzibar kuna Maeneo ya Wakufikia wageni Mahotelini pazuri mandhari mazuri sasa nenda wanapoishi Wananchi utachoka, kwahiyo usijaji eneo kwa kuangalia sehemu ya wanancho wanapoishi kwasababu Kuna maendeo ya wawekezaji wa kigeni, ni sawa na Dangote alitaka kujenga hoteli ni ngumu kujenga Manzese au Mwananyamara, Bunguruni au Buza, kwasabu wateja wake siyo wa aina ya watu wa mazingira hayo, ila atajenga hoteli Serengeti na Manyara uko ndipo kuna wateja wa level zake.Nilipita hapo mara ya mwisho mwaka 2001, miaka hiyo palikuwa hovyo sana ila naskia pamebadilika mno.
Mimi siye niliyetoa hoja,Mkuu hoja yako ni hoteli au sehemu hipo hovyo? Tanzania hii sehemu zote wanazoishi Wananchi ni za hovyo, ila sasa sehemu wanazofikia Wazungu kuja Holliday ni sehemu nzuri na zenye ubora wa Kimataifa, Kule Zanzibar kuna Maeneo ya Wakufikia wageni Mahotelini pazuri mandhari mazuri sasa nenda wanapoishi Wananchi utachoka, kwahiyo usijaji eneo kwa kuangalia sehemu ya wanancho wanapoishi kwasababu Kuna maendeo ya wawekezaji wa kigeni, ni sawa na Dangote alitaka kujenga hoteli ni ngumu kujenga Manzese au Mwananyamara, Bunguruni au Buza, kwasabu wateja wake siyo wa aina ya watu wa mazingira hayo, ila atajenga hoteli Serengeti na Manyara uko ndipo kuna wateja wa level zake.
hapo singida imeingiaje hapo kama sio usenge mkuu?Karatu ipi unaizungumzia hoi karatu ilyojaa mahoteli maku wa ya kitalii au karatu nyingine??? Pale karatu kabury tu Ana lodge 3 za hadhi ya nyota 3! Karatu kuna hotel kali za kitalii kuliko hats Singida, Tabora na Shinyanga combined