king fizo
Member
- Feb 23, 2013
- 16
- 2
hivi ss watanzanzia 2nataka kusema kweli michezo 2naijua lakin karate hatuijui. Maana juzi 2 kulikua na mashindano ya karate kwa vyuo vikuu kutoka nchi tofauti na yamefanyika mliman lakn hakuna hata mwanafunzi mmoja kutoka Tz. Inashangaza sana. Nyinyi mnaonaje wana JF