Karantini ya Diamond Platnumz ni kama shindano la Big Brother

mkumbuke tu kabla ya maisha ya karantini hao jamaa walikuwa pamoja na walishirikiana kwa kila kitu so kama mmoja wapo alikuwa ni muathirika basi wote washaambukizana
ko muwaache waenjoy life la karantuni nazani mngependa kuwaona wakiwa wanyonge kama wagonjwa ndo mfurahi acheni watu waishi maisha yao
Unawaza kidogo sana. Walikuwa pamoja wakiwa safe lakini umesahau baada ya kuwa pamoja kuna movements walizozifanya zinazomhusu kila mmoja wao yaani individually, na kumbuka wanasema waliporudi kila mtu akaenda mahali pake hadi walipopigiana Simu wafike kwa diamond kwa ajili ya kwenda kupimwa
 
mkumbuke tu kabla ya maisha ya karantini hao jamaa walikuwa pamoja na walishirikiana kwa kila kitu so kama mmoja wapo alikuwa ni muathirika basi wote washaambukizana
ko muwaache waenjoy life la karantuni nazani mngependa kuwaona wakiwa wanyonge kama wagonjwa ndo mfurahi acheni watu waishi maisha yao
Naona unatumia Elimu yako ya Shule ya kata Kuelezea Ujinga wa kitu usichokua na Uelewa Nacho
 
Yawapasa muwe waelewa katika vitu vidogo kabla ya kukimbilia vitu vikubwa msivyokuwa na uwezo navyo!

Kwa mujibu wa taratibu za kiafya zilivyotolewa na waziri wetu wa afya ni kuwa kila mtu anayeingia nchini akitokea nchi zenye maambukizi ni lazima awekwe karantin kwa uchunguzi zaid...
na si kuwa mpaka ukutwe na wale wadudu...

Sasa fikiria ni wasafiri wangapi wanaingia hapa nchini?
Je, kila mmoja akiwekwa karantin katika chumba chake vitatosha?
Kwanza nani kawambia kuwa karantin ni total isolation?

Mi navojua ukipimwa ukakutwa na hao wadudu ndo unapigwa total isolation, sio tu kila mtu anayetoka ughaibuni basi huko karantin ni kumfungia chumba chake pekeake kama kaua...

Acheni kuwa na akili visoda hivyo! Hata home lockdowns n makarantin tosha, nako watu wasichangamane na kuenjoy maisha?
 
Nimeona clips kadhaa za wasanii wa Wasafii eti wako kwenye isolation (kalantin) kwa sababu za mwenzao Salam kukutwa na maambukizi baada ya kuwa safari ya pamoja katika nchi za ulaya.

Makosa ambayo yanafanywa na wasanii na bila kupewa muongozo wa watu wa afya wa namna/maana ya quarantine.

Kwanza katika kipindi hiki cha kuwa in isolation hupaswi kuwa na any form of physical contact na watu ama vitu ambavyo vitatumiwa ama kuguswa na wengine, kifupi unakuwa katika mahala pa peke yako.

Hii ni kwa sababu katika kipindi hiki unaweza kuwa umeambukizwa ila symptoms ama vipimo visionyeshe maambukizi. Ni kipindi cha tahadhari dhidi ya kuambukiza wengine na pia kuona preliminarily kama utapata any symptom related to COVID.

Sasa hawa jamaa kukaa katika one house kukiwa na all forms of physical contacts baina yao ama na vitu ambavyo huguswa na wenzako inaondoa maana nzima ya karantini?? Why

Endapo kuna mmoja tu miongoni mwao alikuwa ameambukizwa na subject 1 ambaye ni Salam basi na wengine wote wanaweza kuwa katika risk ya kuambukizwa humo walikolundikana.

Hivyo basi ilipaswa kila mmoja awe katika chumba chake kwa kipindi chote cha siku 14 ili kutimiza matakwa ya quarantine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umasikin mbaya sana, kwaiyo wote walio quarantine wako kila MTU kwenye nyumba yake yuko mwenyew tu bila wanafamiia
 
Back
Top Bottom