Karantini ya Diamond Platnumz ni kama shindano la Big Brother

umasikin mbaya sana, kwaiyo wote walio quarantine wako kila MTU kwenye nyumba yake yuko mwenyew tu bila wanafamiia
 
umasikin mbaya sana, kwaiyo wote walio quarantine wako kila MTU kwenye nyumba yake yuko mwenyew tu bila wanafamiia
 


======

MAGO, Amechangia hii mada na kusema;

Nimeona clips kadhaa za wasanii wa Wasafii eti wako kwenye isolation (kalantin) kwa sababu za mwenzao Salam kukutwa na maambukizi baada ya kuwa safari ya pamoja katika nchi za ulaya.

Makosa ambayo yanafanywa na wasanii na bila kupewa muongozo wa watu wa afya wa namna/maana ya quarantine.

Kwanza katika kipindi hiki cha kuwa in isolation hupaswi kuwa na any form of physical contact na watu ama vitu ambavyo vitatumiwa ama kuguswa na wengine, kifupi unakuwa katika mahala pa peke yako.

Hii ni kwa sababu katika kipindi hiki unaweza kuwa umeambukizwa ila symptoms ama vipimo visionyeshe maambukizi. Ni kipindi cha tahadhari dhidi ya kuambukiza wengine na pia kuona preliminarily kama utapata any symptom related to COVID.

Sasa hawa jamaa kukaa katika one house kukiwa na all forms of physical contacts baina yao ama na vitu ambavyo huguswa na wenzako inaondoa maana nzima ya karantini?? Why

Endapo kuna mmoja tu miongoni mwao alikuwa ameambukizwa na subject 1 ambaye ni Salam basi na wengine wote wanaweza kuwa katika risk ya kuambukizwa humo walikolundikana.

Hivyo basi ilipaswa kila mmoja awe katika chumba chake kwa kipindi chote cha siku 14 ili kutimiza matakwa ya quarantine.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sikupingi ✔️✅✔️
 
Kik Ya yeye kumtema Tanasha Imebuma, Kik Ya mama yake Kutemwa na Kiben 10 pia Imebuma ameona wivu Mwana FA katrend na Yeye kaamua Kupitamo alaf raia Wamempotezea Japokua Vi fans Vyake Vinajaribu Kubust ila Busta Limegoma Pia.
Unamfatilia sana aisee , kwanamna hii Diamond atabaki juu
 
Ukiona mtu anamchukia diamond ujue huyo mtu ana wivu mbaya wa maendeleo in real life
 
Ndio nimejua kuna hiki kitu

Sema kuna mahali kachukua idea ya toosie slide


It is never too late to begin. Start now
 
Back
Top Bottom