Karaha ya kuwa na mwenzi mnywa pombe

Karaha ya kuwa na mwenzi mnywa pombe

Huu ni ujinga na utoto, mambo ya chumbani kwenu yanatuhusu nini sisi?
Kaa chini na mwenzako umwambie usichokipenda.
Hata wewe una kasoro zako kibao, tena utakuta hata nguvu za kiume huna, hujatahiriwa na unakibamia Ndiyo Maana Akaenda kupiga ulabu
Kuwanakibamia inategemeana na sehemu unayokwenda kutumika hata tembo kwanyangumi nikifungua kinywa
 
au anatia kinyaa maana kuna wanaume uwez kulala nao ukiwa na akili zako timamu mpka upige ulaji kdog 😀
Hata baadhi yawanawake wenye uwezo Mdg wakutumia akiri zao hua wanatia kinyaa ila sitaki kukuweka kwenye kundi hilo kwasababu akiri yako bado haijafikia hata Hio hatua yakutia kinyaa
 
Mwanamke kuwa mlevi haipendezi hata kidogo ila akilewa kidogo yakutolea aibu ushirikiano wake kwenye 6*6 unakua 100% huyu wako mweke wazi ataacha kama sio kupunguza
 
Poleni Kwa mfungo ndugu zangu waislamu huku wakristo mkiendelea kula mema ya nchi mchana kweupe!!!!!!

Usiku wa Leo nimetoka kumfukuza classmate wangu wa kike akalale kibarazani kwakuwa mimi ndio nilikuwa mgeni wake hapa mjini kamaliza Chuo fulani kaja kufatilia masuala yake ya kielimu.

Mimi sijaoa nikaona fresh atakaa tu kwa kuwa ni ke haina mbaya atakuwa mama kwa muda huku akisubiri mambo yake, kumbe anakula tungi

Hivi inakuaje unakuwa na mwenza mla urabu(tungi) iwe yoyote ile softy au hard kama bingwa N.k

Kwanza harufu anayokupumulia huwa unajisikia vipi ,pia kwenda kukojoa wakati mmelala hii vipi na kukiacha choo kikiwa na harufu moja balaa sana.

Jaribuni ustaarabu mnavyokuwa ugenini kama unapiga ulaji fuata protocol sio unakunywa mpaka ukifika kitandani unashindwa kutoa ushirikiano unalala kama Gwajima na demu wake[emoji23][emoji23][emoji23]
...hakuna upumbavu unaozidi wa mwanaume kutokunywa pombe halafu mwanamke ndio anakunywa -wewe kazi yako ni kuleta umbea mitandaoni eti oooooh demu wangu jana alilewa sana.pathetic

....nyie ndio mnaotudharirisha sana wanaume wa kweli mitandaoni...pumbafuuu kabisa wewe
 
Kuishi na mke mlevi ni shida, yaani mmejaa bar mnapiga ulabu, tena wote wawili. Sijui nani anaangalia familia...
 
Back
Top Bottom