Karaha ya kuwa na mwenzi mnywa pombe

Karaha ya kuwa na mwenzi mnywa pombe

Mwanamke kuwa mlevi haipendezi hata kidogo ila akilewa kidogo yakutolea aibu ushirikiano wake kwenye 6*6 unakua 100% huyu wako mweke wazi ataacha kama sio kupunguza
Niko nae tayari Niko kumpa mawili matatu na samahani yakumlaza nje
 
...hakuna upumbavu unaozidi wa mwanaume kutokunywa pombe halafu mwanamke ndio anakunywa -wewe kazi yako ni kuleta umbea mitandaoni eti oooooh demu wangu jana alilewa sana.pathetic

....nyie ndio mnaotudharirisha sana wanaume wa kweli mitandaoni...pumbafuuu kabisa wewe
Ukapimwe mkojo wewe ,
Ko wewe ndo unajiona mwanaume bando langu, smartphone yangu asa unaanzaje kunipangia chakupost zwazwa sana watu kama nyie
 
...huyu jamaa atakuwa ***** bila shaka
Unawajua sana machoko au sio sidhani kama anaemjua ***** yeye haingizwi unaweza ukakuta Mimi ndio ninaekupiga mti afu unakuja kumsema sema vibaya mume wako hapa
 
Pombe tu unaliaa ukikutana na anayechanja veve na mvuta bangi si utampigia sm kamanda sirro
 
Ungemlaza hata chini mkuu kuepukana na hiyo kadhia,ila kitendo cha kumpeleka nje na kumuacha sio cha kiungwana hata kidogo,ukiulizwa eti ulimsahau kweli?kisa kaleawa sio vizuri mkuu badirika kwa hilo
 
Next time mkiwa mnaanzisha mahusiano ulizaneni kwanza..je unatumia kilevi? Sigara? Bangi?
Itaepusha kupata mwenza mwenye tabia usiyoipenda
Mi natumia pombe lakini Kama ndo we sasa ndo nimeku approach ukaniuliza swali, maswali Kama ayo uwa nakataa kabisa

Kuna vtu vibaweza vikakukosesha kula tunda ivi ivi
 
Back
Top Bottom