Karaha ya kuwa na mwenzi mnywa pombe

Karaha ya kuwa na mwenzi mnywa pombe

Kunywa pombe sio dhambi as long uwe unajielewa

Kwa mwanamke kunywa kiasi tu usinywe mpaka uzime haileti pcha nzuri kabisa

Mwisho wa siku wale wachangiaji pato la taifa weekend tukutane pestana Dodoma
 
Mnafanya vibaya sana. Kumbuka kuna mtu yuko tayari kuwa na wewe pamoja na ulevi wako au pengine hata yeye ni mlevi kama wewe sasa kwa nini ulazimishe kumkera huyu asiyekunywa?
Mi natumia pombe lakini Kama ndo we sasa ndo nimeku approach ukaniuliza swali, maswali Kama ayo uwa nakataa kabisa

Kuna vtu vibaweza vikakukosesha kula tunda ivi ivi
 
Katika watu ambao nawaelewa kwenye michango ya mada jf katka top 5 yangu we pia upo

Pili unajua Kuna vtu vimesha kua addicted Ni ngum kuviacha hata Kama unataka kuviacha

Pili mi ni mnywaji lakin Ni mnywaji wa weekend tu , Kuna muda unaweza ukakutana na wife material kabisa so katika kutupa voko akakuelewa laniki wanawake nyie uwaga mnamitihan yenu

Mnatakata kujua lifestyle ya mtu nasi uwa atutaki mtujue upande wa pili wa coin kwa muda mchache tu ndo Mana uwa tunawadanganya
 
Ahsante ila sio vema, be real na utapata mtu anayeendana na wewe. Hivi mtu kama huyo hata ukimuoa baadae akagundua unakunywa ndoa itakuwa ana amani?
 
Yani doa isiwe na amani kwasababu ya pombe tu jaman?

Kuna pombe kweli zinakufanya unuke mdomo na mkojo pia , pombe za kienyeji lakini izi za viwandani zitanuka pale tu utakapo tapika
 
Unaona sio ishu kwa kuwa we ni mnywaji. Halafu kosa lingine ni kudanganywa hunywi wakati unakunywa mtu anaanza kufikiria umemdanganya vingapi
 
Mi natumia pombe lakini Kama ndo we sasa ndo nimeku approach ukaniuliza swali, maswali Kama ayo uwa nakataa kabisa

Kuna vtu vibaweza vikakukosesha kula tunda ivi ivi
Nyie ndo mnafichaga matabia mabaya ,unakuja kuoa mke anakuchoka haraka hlf unalalamika kabadilika. Ni afadhali mtu aweke wazi mambo yake..binafsi nakunywa pombe, navuta bangi kisirisiri km mkuu alivyosuggest, sigara situmii. Atakayenipenda anipende hivi hivi na asithubutu kutaka kujirekebisha maana sirekebishiki.
 
Mmh hapo kwenye bangi ndio kwenye hatari aiseeh...
Nyie ndo mnafichaga matabia mabaya ,unakuja kuoa mke anakuchoka haraka hlf unalalamika kabadilika. Ni afadhali mtu aweke wazi mambo yake..binafsi nakunywa pombe, navuta bangi kisirisiri km mkuu alivyosuggest, sigara situmii. Atakayenipenda anipende hivi hivi na asithubutu kutaka kujirekebisha maana sirekebishiki.
 
oyaaa ungemleta kwangu...spendi demu asio kunywa ana bored!!sio kunywa kulewa sana kunywa kuchangamka japo wine.
 
Bora mkutane wote mnakunywa ni raha tele

Baba ananimiminia wine yangu pale mi namuwekea bia yake hivii
Story zinaenda
Maisha yanaenda saaafi kbs
 
oyaaa ungemleta kwangu...spendi demu asio kunywa ana bored!!sio kunywa kulewa sana kunywa kuchangamka japo wine.
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu wee si rasta asee unakulaje denda demu ananuka uchacho mdomoni
 
Back
Top Bottom