Mkuu Zion Daughter Mimi ni Dokta wa Tiba Mbadala ukiona kitu nime Google nitakiweka kwa lugha ya kiingereza ukiona nimeweka kwa lugha ya kiswahili ujuwe hicho kitu ni changu mwenyewe upo hapo na mimi? Kila kitu huwezi kupata katika ku Search Google sio rahisi.
Nimewahi sikia ila sijathibitisha,walitoa uzi humu kwamba loweka vikonyo sita kila usiku maji kikombe kimoja then mwenye pumu anywe kwa siku kumi na tano kila asubuhi
Nimewahi sikia ila sijathibitisha,walitoa uzi humu kwamba loweka vikonyo sita kila usiku maji kikombe kimoja then mwenye pumu anywe kwa siku kumi na tano kila asubuhi[/QUOAsante mkuu, wajuzi watatujuza hapa.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App +905013460377 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu