Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,429
- 1,762
Huyo aliyetoa mada kuna wakati kidogo huwa anajielewa, hopelessness ni huyo jamaa narcissit anayeitwa Kiranga, huyo ni juha kweli kweli.Ila hawa diaspora ni hopeless sana ni vilaza kila jambo ni mbegu inakua taratibu haya mambo kwa mtu mwenye akili sio wa kuupuuzia
Ulimwengu wa sasa ni kuweka ushahidi si kuandika hisiaMsemaji wa jeshi anaiamini....nayeye ni mpumbavu?
umeona!Sio anatetemeka bali ana kigugumizi
Sio hewa ,just wait.....Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.
Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.
Watanzania nawajua vizuri mno.
Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia wengine.
Wote ni makondoo tu. Nyumbu pia wapo.
Kwa aina ya wananchi waliopo hivi sasa, hakuna mtu atayethubutu kuipindua serikali ya CCM.
Kuandamana tu kunawashinda. Kugoma kupiga kura nako kunawashinda.
Mapinduzi ndo mtayaweza nyinyi?
Baada ya kufanya utafiti wangu mwenyewe, nimehitimisha kuwa Jana mmejazwa tu upepo na sasa mmeanza kuutoa kama gesi ya tumboni.
Mmepata furaha na faraja ya muda mfupi and now it’s back to life, back to reality.
Happy Sunday ✌️.
Unanikumbusha zama zile Obama Vs McCain uliposhupasha shingo kuwa Obama hashindi. In life anything possible. WaTanganyika ni watu sema tu hawajathubutu ikifika climax basi watafanya.Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.
Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.
Watanzania nawajua vizuri mno.
Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia wengine.
Wote ni makondoo tu. Nyumbu pia wapo.
Kwa aina ya wananchi waliopo hivi sasa, hakuna mtu atayethubutu kuipindua serikali ya CCM.
Kuandamana tu kunawashinda. Kugoma kupiga kura nako kunawashinda.
Mapinduzi ndo mtayaweza nyinyi?
Baada ya kufanya utafiti wangu mwenyewe, nimehitimisha kuwa Jana mmejazwa tu upepo na sasa mmeanza kuutoa kama gesi ya tumboni.
Mmepata furaha na faraja ya muda mfupi and now it’s back to life, back to reality.
Happy Sunday ✌️.
Kumbe hujasikiliza?Atarudi lini?
Siyo pessimistic but wewe ni egoistBeing realistic is different from being negative.
Acha blah blah. Sijawapa matumaini hewa, nasubiri majibu ya CDF kabla ya kukiwasha.
Ila bongoWazalendo wa kweli tuna imani na Captain Tesha View attachment 3483616
Kwann tusiamini mpk jeshi limetoka kujibu?Ni mpumbavu TU ataamini hiyo clip. Kama unaiamini, nikupe pole kwani akili Yako ipo tenge
Unaandika haya ukiwa wapi?Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.
Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.
Watanzania nawajua vizuri mno.
Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia wengine.
Wote ni makondoo tu. Nyumbu pia wapo.
Kwa aina ya wananchi waliopo hivi sasa, hakuna mtu atayethubutu kuipindua serikali ya CCM.
Kuandamana tu kunawashinda. Kugoma kupiga kura nako kunawashinda.
Mapinduzi ndo mtayaweza nyinyi?
Baada ya kufanya utafiti wangu mwenyewe, nimehitimisha kuwa Jana mmejazwa tu upepo na sasa mmeanza kuutoa kama gesi ya tumboni.
Mmepata furaha na faraja ya muda mfupi and now it’s back to life, back to reality.
Happy Sunday ✌️.
Watz sio makondoo jisemee weweNakubaliana kabisa na wewe kuwa ''watanzania ni makondoo''. Lakini unapoona kondoo angalau mmoja, anabadilika ghafla na kuanza kuji-behave kama kiumbe chenye akili, hudhani kuwa ni jambo la kushangaza?
Only Mange ndo diaspora anaejitambuaIla hawa diaspora ni hopeless sana ni vilaza kila jambo ni mbegu inakua taratibu haya mambo kwa mtu mwenye akili sio wa kuupuuzia
Usijiondoe wewe pia kuhurumiwaVijana hapa JF, ni wa kuhurumia. Kama ulimsikiliza huyo so called Captein alikuwa anasoma na anatetemeka
😃😃😃Tulia dawa ikuingie
Mkuu, rudi usome tena... tafakari.... kwa nini nimeweka kwenye inverted commas ''......'' neno ''watanzania ni makondoo''. Halafu soma namna nilivyomjibu.Watz sio makondoo jisemee wewe
😃
Though nimekuelewa
Ht hivyo too late....Tanzania mpya inakuja ..
Hii ndiyo changamoto ya baadhi ya wanachama wa JF wanataka siku zote waonekane kama wao pekee ndiyo kitovu cha ukombozi. Hali kama hii imekuwa ikiwagharimu hata wanasiasa wa upinzani, ambao nao mara nyingi wanataka waonekane kama mashujaa wakuu wa ukombozi wa taifa hili. Lakini pindi anapojitokeza mtu tofauti nao, wanaanza kusema eti 'huyu hatufai' au 'sio mwenzetu', badala ya kuangalia dhamira na mchango wake. Ukweli ni kwamba Tanzania ni ya kila Mtanzania, na kila mmoja ana haki ya kupigania nchi yake kwa namna anavyoona inafaa, mradi tu lengo ni kuhakikisha taifa letu linarejea mikononi mwa wananchi hilo ndilo jambo la msingi.
Ndo maaqna na mimi nimesema "nimekuelewa".....Mkuu, rudi usome tena... tafakari.... kwa nini nimeweka kwenye inverted commas ''......'' neno ''watanzania ni makondoo''. Halafu soma namna nilivyomjibu.