Kapteni Tesha alipotelea wapi?

Tatizo la approach yako ni kwamba unashambulia watu waliomuamini Captain Tesha badala ya kuchambua mazingira yaliyomfanya ajitokeze na kutoa kauli ile.

Hii ni logical fallacy ya ad hominem, badala ya kushughulika na hoja, unashambulia watu binafsi.

Captain Tesha alifanya jambo la kipekee na la ujasiri.

Kumbuka Tesha alitumia jina lake halisi, hakujificha, na alitoa ujumbe wa matumaini kwa wananchi waliokuwa wamekata tamaa kutokana na matukio ya utekaji na mauaji.

Katika mazingira ambayo kusema ukweli kunaweza kukugharimu uhai wako, kitendo cha kujitokeza hadharani ni cha kuenziwa.

Kutorudi tena hakumaanishi alidanganya, kuna sababu nyingi za msingi zinazoweza kumfanya ashindwe kurudi, ikiwemo vitisho kwa familia yake au shinikizo kutoka vyombo vya dola.

Hizi ni sababu ambazo mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuelewa.

Ni rahisi kwako kubeza ukiwa salama nyuma ya fake ID, bila sura, bila jina, na bila familia yako kujulikana.

Lakini ni vigumu kujitokeza hadharani na kupaza sauti dhidi ya utawala unaotumia nguvu.

Mwa hiyo kubeza jitihada za Tesha naona ni unafiki kwa sababu hujafanya hata nusu ya kile alichothubutu kufanya.

Tesha ali play part yake na alitoa mchango wake wa kipekee na tunamshukuru kwa hilo kwasababu sio wote wanaweza.

Hata kama hakurudi mara ya pili, sababu zake zinaweza kuwa nzito na za msingi.

Halafu hoja yako kwamba “mapinduzi hayatangazwi kabla” haina mashiko kwa sababu historia imetuonesha mara nyingi watu waliotoa onyo au kauli za matumaini kabla ya mabadiliko makubwa.

Thomas Sankara alitoa hotuba kali kabla ya mapinduzi ya Burkina Faso, Martin Luther King Jr. alitangaza ndoto ya “I Have a Dream” kabla ya mabadiliko ya kisheria kutokea Marekani. Kauli za onyo na matumaini mara nyingi hutangulia vitendo.

Kwa hiyo, Tesha kutoa onyo hakumfanyi awe muongo, bali ni sehemu ya harakati za kuamsha hamasa na fikra za wananchi.

Hapa hoja yenye mantiki ni kwamba Tesha alitoa mchango wake na raia wengi wana appreciate so kubeza jitihada zake ni kupuuza mazingira halisi ya gharama za kisiasa katika jamii.

 
Hapana tumwamini Cap. Tesha aliyewaingiza mkenge mpk mkaamini eti JWTZ wako upande wenu
 
It’s honestly too easy kukaa nyuma ya keyboard kubeza and label people waongo, you need to remember the credit belongs to those actually in the mud, Captain Tesha, Lissu, na Mdude are paying a price ambayo wewe huwezi kuifikiria, they are out there taking the heat huku wewe na akili zako za hovyo uko busy kubeza their efforts , sure October 29 wasn't perfect, we know that, lakini heri nusu ya shari kuliko the deafening silence of a coward, at least they stood for something
 
alishauliwa yule!
 
kinjitikile aliingia mzigon, kwa lugha nyepesi alikua front line! tukija kwa wewe kama mfano kwenda front line hutak na unataka kuitwa shujaa
 
Hapana
 
Huko ni kujipa moyo na kujijaza matumaini hewa.

Tesha hakuwa na mchango wowote ule zaidi ya kuwapa watu matumaini ya kufikirika tu.
 

Wewe umetumia nini kuandika hapa? Keyboard?
 
Wale jamaa wajanja sana, ule ulikuwa mtego at high level
 
Mwanajeshi mwenye elimu ya juu kiasi cha Tesha na uzoefu hawezi kufanya mchezo ule.

Bado naamini alikuwa anatumika kama Trap
 
Huko ni kujipa moyo na kujijaza matumaini hewa.

Tesha hakuwa na mchango wowote ule zaidi ya kuwapa watu matumaini ya kufikirika tu.
Siku zote kila kitu huonekana ni rahisi kikiwa kinafanywa na mwingine.

Kama unahisi ni rahisi kufanya alivyofanya Tesha jaribu na wewe.

And then tuangalie kama kweli watanzania ni wajinga kihivyo kurubuniwa na video yako ya dakika 15
 
Siku zote kila kitu huonekana ni rahisi kikiwa kinafanywa na mwingine.

Kama unahisi ni rahisi kufanya alivyofanya Tesha jaribu na wewe.

And then tuangalie kama kweli watanzania ni wajinga kihivyo kurubuniwa na video yako ya dakika 15
Hana akili huyo anafikiri watu walitoka tu barabarani kama wamekatwa vichwa yaani hawajui wanachoandamania yaani mtu uchezee uhai huku ukiwa hujui unachokitaka
 
Siku zote kila kitu huonekana ni rahisi kikiwa kinafanywa na mwingine.

Kama unahisi ni rahisi kufanya alivyofanya Tesha jaribu na wewe.

And then tuangalie kama kweli watanzania ni wajinga kihivyo kurubuniwa na video yako ya dakika 15
Watanzania walirubuniwa na so called Kapteni Tesha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…