PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,178
Huyu bwana naona amelewa sifa kupitiliza.sikuamini masikio yangu kusikia akimtuakana Warioba eti Warioba ni hovyo hovyo anataka kuvuruga amani ya nchi.
Kwanza Komba ajue Warioba ni mtu mashuhuri nchini asijilinganishe nae. Warioba sio wa kufuata mawazo ya chama hata kama hayana tija kwa taifa yeye ni mzalendo,kwanza hakupewa vyeo kama Komba kupewa ukapteni,kwa kuimba taarabu katika vita ya Kagera.