Kapteni John Tesha ni chambo tu ila kumtuma kanali Mlunga akaimu nafasi ya msemaji wa JWTZ badala ya luteni kanali Ilunda yafikirisha

Richard

Platinum Member
Joined
Oct 23, 2006
Posts
16,630
Reaction score
25,586
Kapteni John Tesha ambae ni mkufunzi (Instructor) wa wanafunzi wa kurusha ndege za kivita kajitokeza akisema alosema.

Mengi alosema Kapteni Tesha yamezungumzwa pia na aliekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba (Kuba) balozi Humphrey Polepole.

Kama ni kweli huyo ni Kapteni Tesha basi na ni kweli ni mkufunzi wa wanafunzi wanorusha ndege za kivita basi atakuwa ana cheti cha QIF (Qualified Flight Instructor).

Kama ni kweli Kapteni Tesha ana sifa hizi ni mtu muhimu sana kwa nchi zingine ambako ataweza kufundisha marubani wanafunzi wa kawaida, wa kibiashara na wale wa kutaka kupata cheti tu.

Huyu Kapteni Tesha ikiwa ana QIF lakini akapata pia QIFI ni kwamba aweza kutoa alama kuhusu kifaa cha matumizi yaani ndege (instrument rating).

Pia Kapteni tesha aweza kutoa mapitio kuhusu ndege (flight review) na kuiidhinisha kwamba yaweza kurushwa angani kwa matumizi ya mafunzo. Isitoshe Kapteni Tesha ni mtu ambae ana uwezo wa kutayarisha mitihani ya vitendo ambayo huchukua hadi masaa 3 ndani ya siku 60 baada ya kutoa mafunzo kwa masaa 200.

Kutokana na ujuzi wake huo wa kuwa ni mkufunzi (Instructor) Kaptei Tesha aweza kuwa amepata mafunzo kutoka katika moja ya nchi kama India, Uingereza, Canada au Afrika Kusini.

Ukiangalia sana hapo Kapteni Tesha hana muda wowote wa kufanya siasa na hata alipokuwa akisoma alokisoma amesoma kwa umakini sana na kuonyesha jinsi alivyokuwa amejiandaa. Na je, ni kweli kapteni Tesha aweza kuchukua hatua kama hiyo ya kuacha ukufunzi wake unompa ulaji na akafanya jambo alolifanya?

Pili, ni kuhusu kaimu mkurugenzi wa habari na uhusiano wa JWTZ kanali Bernard Masala Mlunga ambae akaimu nafasi hiyo kutoka kwa msemaji aliezoeleka luteni kanali Gaudentius Ilunda ambae haijulikani kama yupo likizo au vipi.

Kama kumbukumbu zangu ziko uzuri, kanali Mlunga aliteuliwa kuwa mpambe (Aide de Camp ADC) wa raisi hayati John Magufuli mwaka 2018 baada ya aliekuwa mpambe wake kanali Mkelemi kuomba kupewa majukumu mengine.

Jana baada ya kutafakari kwa kina JWTZ wakamtuma kanali Mlunga ambae sura yake si ngeni kwa watanzania wengi ambao bado wana kumbukumbu ya hayati John Magufuli, kutoa taarifa ya kutokanusha au kukanusha juu ya yale yaloelezwa na Kapteni Tesha.

Na hapo tusisahau kuwa mkuu wa majeshi mwenyewe alisema kule Mbweni kwamba huko serikalini kuna wageni ambao wamepewa ajira katika idara nyeti za serikalini, na baadae hakukutolewa maelezo yoyote kufafanua alikosema mkuu huyo wa wajeda.

Hivyo basi yaonekana kuwa leo ni siku ya Alhamisi na kuna mtu achambua mchele na hukohuko (jikoni) yupo mkata nyama na mchemshaji, mtwanga vitunguu swaumu, mmenya hiliki, bila kusahau wataonunua giligilani, chumvi na sufuria ili shaba lipikwe na watu wale.

Je, Kapteni Tesha ni chambo tu, au ndio ule msemo wa dalili ya mvua ni mawingu ndo wakaribia kuwa ni kweli?
 
Afande Tesha ni sauti ya wengi ( kutoka katika vyombo vya ulinzi na usalama ). Jambo ambalo limefanyika wapima matokeo yake kwa kina kabla ya Tesha kujitokeza na jambo kama hilo hakuna kurudi nyuma kwa stage iliyofikia. Lingewezekana zuiwa kabla Tesha hajajitokeza, ila paka amejitokeza wamepiga hatua kubwa mbele zisizo zuilika
 
Muda ni msema kweli wa wakati wote.
Kabla,wakati tukiusubiri wakati tunaita Yajayo yanafurahisha au kinyume chake,Akisema akamaliza tunaita Historia.
Ama kweli muda huja na kweli ya angle zote na huondoka na kweli zote,kubaki kumbukumbu ya kweli.
 
Je, Kapteni Tesha ni chambo tu, au ndio ule msemo wa dalili ya mvua ni mawingu ndo wakaribia kuwa ni kweli?
Itafahamika October 29, kasema ole wake asikie raia yoyote amepigwa risasi akiwa anaandamana hapo ndio wataeleza wao wanaopiga risasi wananchi wamesomea kulinda wananchi au wamesomea kuua wananchi
 
Hili jeshi dogo lilotengenezwa kwa miaka karibu 20 haliwezi kulishinda JWTZ.

Na kama ni kweli zipo silaha ziloingizwa nchini ni lazima MI ya JWTZ ina taarifa wapi zimehifadhiwa.
 
Kapteni John Tesha ambae ni mkufunzi (Instructor) wa wanafunzi wa kurusha ndege za kivita kajitokeza akisema alosema.

Mengi alosema Kapteni Tesha yamezungumzwa pia na aliekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba (Kuba) balozi Humphrey Polepole.

Kama ni kweli huyo ni Kapteni Tesha basi na ni kweli ni mkufunzi wa wanafunzi wanorusha ndege za kivita basi atakuwa ana cheti cha QIF (Qualified Flight Instructor).

Kama ni kweli Kapteni Tesha ana sifa hizi ni mtu muhimu sana kwa nchi zingine ambako ataweza kufundisha marubani wanafunzi wa kawaida, wa kibiashara na wale wa kutaka kupata cheti tu.

Huyu Kapteni Tesha ikiwa ana QIF lakini akapata pia QIFI ni kwamba aweza kutoa alama kuhusu kifaa cha matumizi yaani ndege (instrument rating).

Pia Kapteni tesha aweza kutoa mapitio kuhusu ndege (flight review) na kuiidhinisha kwamba yaweza kurushwa angani kwa matumizi ya mafunzo. Isitoshe Kapteni Tesha ni mtu ambae ana uwezo wa kutayarisha mitihani ya vitendo ambayo huchukua hadi masaa 3 ndani ya siku 60 baada ya kutoa mafunzo kwa masaa 200.

Kutokana na ujuzi wake huo wa kuwa ni mkufunzi (Instructor) Kaptei Tesha aweza kuwa amepata mafunzo kutoka katika moja ya nchi kama India, Uingereza, Canada au Afrika Kusini.

Ukiangalia sana hapo Kapteni Tesha hana muda wowote wa kufanya siasa na hata alipokuwa akisoma alokisoma amesoam kwa umakini sana na kuonyesha jinsi alivyokuwa amejiandaa. Na je, ni kweli kaoteni Tesha aweza kuchukua hatua kama hiyo ya kuacha ukufunzi wake unompa ulaji na akafanya jambo alolifanya?

Pili, ni kuhusu kaimu mkurugenzi wa habari na uhusiano wa JWTZ kanali Bernard Masala Mlunga ambae akaimu nafasi hiyo kutoka kwa msemaji aliezoeleka luteni kanali Gaudentius Ilunda ambae haijulikani kama yupo likizo au vipi.

Kama kumbukumbu zangu ziko uzuri, kanali Mlunga aliteuliwa kuwa mpambe (Aide de Camp ADC) wa raisi hayati John Magufuli mwaka 2018 baada ya aliekuwa mpambe wake kanali Mkelemi kuomba kupewa majukumu mengine.

Jana baada ya kutafakari kwa kina JWTZ wakamtuma kanali Mlunga ambae sura yake si ngeni kwa watanzania wengi ambao bado wana kumbukumbu ya hayati John Magufuli, kutoa taarifa ya kutokanusha au kukanusha juu ya yale yaloelezwa na Kapteni Tesha.

Na hapo tusisahau kuwa mkuu wa majeshi mwenyewe alisema kule Mbweni kwamba huko serikalini kuna wageni ambao wamepewa ajira katika idara nyeti za serikalini, na baadae hakukutolewa maelezo yoyote kufafanua alikosema mkuu huyo wa wajeda.

Hivyo basi yaonekana kuwa leo ni siku ya Alhamisi na kuna mtu achambua mchele na hukohuko (jikoni) yupo mkata nyama na mchemshaji, mtwanga vitunguu swaumu, mmenya hiliki, bila kusahau wataonunua giligilani, chumvi na sufuria ili shaba lipikwe na watu wale.

Je, Kapteni Tesha ni chambo tu, au ndio ule msemo wa dalili ya mvua ni mawingu ndo wakaribia kuwa ni kweli?
Hivyo basi yaonekana kuwa leo ni siku ya Alhamisi na kuna mtu achambua mchele na hukohuko (jikoni) yupo mkata nyama na mchemshaji, mtwanga vitunguu swaumu, mmenya hiliki, bila kusahau wataonunua giligilani, chumvi na sufuria ili shaba lipikwe na watu wale.🥱😂
 
Hakuna ujasusi wowote katika kumtuma Kanali Bernard Masala Mlunga (Kaimu Mkurugenzi) badala ya Kanali Gaudentius Ilonda (Mkurugenzi)

Kwenye taasisi, Kaimu kufanya majukumu ya nafasi anayokaimu sio jambo la kijasusi wala ajabu. Na wala si kwamba Kanali Mlunga kapewa cheo juzi, hiyo nafasi anayo kama mwaka hivi na amekwishatia saini taarifa nyinginezo za jeshi na aliishazungumzia mambo mengine pia.
 
Huyu mama na kundi lake la wanamtandao wamelifikisha taifa pabaya sana!
JWTZ ndio pekee wamebaki kusimama imara japo hawa wanamtandao wanafanya kila mbinu watie huko unajisi... Lakini kwa hakika hawa mafisadi wataanguka vibaya sana!
Jeshi letu halitokubali kuwalinda hawa mafisadi huku taifa likiangamia
 
Kapteni John Tesha ambae ni mkufunzi (Instructor) wa wanafunzi wa kurusha ndege za kivita kajitokeza akisema alosema.

Mengi alosema Kapteni Tesha yamezungumzwa pia na aliekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba (Kuba) balozi Humphrey Polepole.

Kama ni kweli huyo ni Kapteni Tesha basi na ni kweli ni mkufunzi wa wanafunzi wanorusha ndege za kivita basi atakuwa ana cheti cha QIF (Qualified Flight Instructor).

Kama ni kweli Kapteni Tesha ana sifa hizi ni mtu muhimu sana kwa nchi zingine ambako ataweza kufundisha marubani wanafunzi wa kawaida, wa kibiashara na wale wa kutaka kupata cheti tu.

Huyu Kapteni Tesha ikiwa ana QIF lakini akapata pia QIFI ni kwamba aweza kutoa alama kuhusu kifaa cha matumizi yaani ndege (instrument rating).

Pia Kapteni tesha aweza kutoa mapitio kuhusu ndege (flight review) na kuiidhinisha kwamba yaweza kurushwa angani kwa matumizi ya mafunzo. Isitoshe Kapteni Tesha ni mtu ambae ana uwezo wa kutayarisha mitihani ya vitendo ambayo huchukua hadi masaa 3 ndani ya siku 60 baada ya kutoa mafunzo kwa masaa 200.

Kutokana na ujuzi wake huo wa kuwa ni mkufunzi (Instructor) Kaptei Tesha aweza kuwa amepata mafunzo kutoka katika moja ya nchi kama India, Uingereza, Canada au Afrika Kusini.

Ukiangalia sana hapo Kapteni Tesha hana muda wowote wa kufanya siasa na hata alipokuwa akisoma alokisoma amesoam kwa umakini sana na kuonyesha jinsi alivyokuwa amejiandaa. Na je, ni kweli kaoteni Tesha aweza kuchukua hatua kama hiyo ya kuacha ukufunzi wake unompa ulaji na akafanya jambo alolifanya?

Pili, ni kuhusu kaimu mkurugenzi wa habari na uhusiano wa JWTZ kanali Bernard Masala Mlunga ambae akaimu nafasi hiyo kutoka kwa msemaji aliezoeleka luteni kanali Gaudentius Ilunda ambae haijulikani kama yupo likizo au vipi.

Kama kumbukumbu zangu ziko uzuri, kanali Mlunga aliteuliwa kuwa mpambe (Aide de Camp ADC) wa raisi hayati John Magufuli mwaka 2018 baada ya aliekuwa mpambe wake kanali Mkelemi kuomba kupewa majukumu mengine.

Jana baada ya kutafakari kwa kina JWTZ wakamtuma kanali Mlunga ambae sura yake si ngeni kwa watanzania wengi ambao bado wana kumbukumbu ya hayati John Magufuli, kutoa taarifa ya kutokanusha au kukanusha juu ya yale yaloelezwa na Kapteni Tesha.

Na hapo tusisahau kuwa mkuu wa majeshi mwenyewe alisema kule Mbweni kwamba huko serikalini kuna wageni ambao wamepewa ajira katika idara nyeti za serikalini, na baadae hakukutolewa maelezo yoyote kufafanua alikosema mkuu huyo wa wajeda.

Hivyo basi yaonekana kuwa leo ni siku ya Alhamisi na kuna mtu achambua mchele na hukohuko (jikoni) yupo mkata nyama na mchemshaji, mtwanga vitunguu swaumu, mmenya hiliki, bila kusahau wataonunua giligilani, chumvi na sufuria ili shaba lipikwe na watu wale.

Je, Kapteni Tesha ni chambo tu, au ndio ule msemo wa dalili ya mvua ni mawingu ndo wakaribia kuwa ni kweli?
Captain Tesha anawakilisha mawazo ya Wazalendo wengi ndani ya jeshi ambao hawapendezwi na uhuni unaoendelea nchini.
Nafikiri ametumwa kuwapa notice wahuni, CDF Mkunda, Mombo, Kikwete, Polisi, Samia kwa mara ya mwisho. Kwamba tunajua mnayoyafanya tunatambua uhuni wenu. Mwisho wenu upo karibu. Jeshi litasimama kulinda Katiba na kuwa upande wa wananchi, hata kama mkuu is corrupted, compromised na wahuni.

Yote aliyoyasema ni yale aliyoyasema Polepole kutumia style ileile. Kuongea live mitandaoni kimamlaka na kujiamini lakini taratibu bila mihemuko. Hii inaonekana ipo coordinated.
 
Ukitafakari kwa kina si kitu cha bahati mbaya.
Kuna namna wanasuka jambo na kuna namna inaonyesha mafanikio makubwa ya hilo jambo iliyobaki ni kuliwasilisha .
Wameanzia mbali kidogo na sasa wamefika karibu sana.
Hizi ni ndoto za Alinacha.
Wananchi munawaza hayo, lakini wenyewe wanawaza kuilinda mipaka ya nchi tu.
Kiufupi, kilicho vichwani vyenu ni tofauti kabisa na wanachokiwaza wajeda.
 
Hakuna ujasusi wowote katika kumtuma Kanali Bernard Masala Mlunga (Kaimu Mkurugenzi) badala ya Kanali Gaudentius Ilonda (Mkurugenzi)

Kwenye taasisi, Kaimu kufanya majukumu ya nafasi anayokaimu sio jambo la kijasusi wala ajabu. Na wala si kwamba Kanali Mlunga kapewa cheo juzi, hiyo nafasi anayo kama mwaka hivi na amekwishatia saini taarifa nyinginezo za jeshi na aliishazungumzia mambo mengine pia.
Ni kweli usemayo ila kama nilivyosema yafikirisha.

Isitoshe, katika ulimwengu wa leo ujasusi si kuvaa kaunda suti tu na miwani nyeusi, ujasusi ni kila tasnia uifahamuyo weye.

Nchi zingine (nnazozifahamu uzuri) mtu kama kapteni Tesha (kwa nafasi yake kama airforce fighter jet Instructor) akipita uwanja wa ndege kuingia na nchi wenyeji wakifahamu hilo (kijasusi) humweka kwenye orodha maalum kwa sababu za kiusalama na kijasusi.

Je wafahamu hilo?
 
Ni kweli usemayo ila kama nilivyosema yafikirisha.

Nchi zingine (nnazozifahamu uzuri) mtu kama kapteni Tesha (kwa nafasi yake kama Instructor) akipita uwanja wa ndege kuingia na nchi wenyeji wakifahamu hilo (kijasusi) humweka kwenye orodha maalum kwa sababu za kiusalama na kijasusi.

Je wafahamu hilo?
Weapon instructor mwenye cheo cha Kapteni hana hadhi ya kuwekewa uangalizi maalum akitoka au kufika nchi yoyote.

Baadhi ya retired instructors wa US na UK walikuwa wanaenda train Chinese pilots na kurudi mpaka walipogundulika na hatua zikachukuliwa.

Ndege sio matoroli kwamba utaenda ufundishe mtu au ufike parking uendeshe. Sasa unamfuatilia instructor ili asifanye nini kwa mfano. Taja hizo nchi zinazowafuatilia.
 
Back
Top Bottom