Kapten John Komba ana nini na Anne Kilango?

- Cha muhimu hapa ni kwamba CCM wameshinda tayari, haya mengine ni ya kawaida katika siasa na penye wengi siku zote pana mengi, kama vile Marehemu Wangwe alivyokuwa akilumbana na viongozi wenziwe, ni kawaida kwenye siasa.

FMEs!
 
FMEs,

maneno yako bwana,yanawafanya watu wawe kimya...Bwa ha ha ha ha!

VIVA CCM
 
Kilasara
Tarime unaijua au unaisikia tu redioni?

Mura wacha maneno yako hayo. Kwani madiwani karibu wote si Chadema, sasa mbona wanauana wenyewe kwa wenyewe utadhani wako Somalia. Wacha kelele arawa, Tarime mambo ni magumu usiwasifie bure. Ukibisha hebu nenda Tarime mjini tu halafu utembee baada ya saa 12 utaipata fresh. "Mura, kama uchui giswahiri sasa unataka ghento gani haba, nenkogecha mura, tumbasu.... " utasikia maneno kama hayo.
 
Komba hana lolote msanii huyo!!!! Aaachane na ubunge aendelee na TOT yake na taarabu kwa wingi. Hivi jimbo lake wakimchagua watamchagua kwa kuwa ana sifa kweli??? I doubt!!!! Pengine kwa kuwa ataweza kutembeza beji la pesa ya mafisadi kununua wapiga kura.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom