chishango
JF-Expert Member
- Feb 20, 2009
- 852
- 350
Wadau
Kuna huyu mtu anaitwa John Komba mbunge wa Mbinga magharibi (Nyasa) huyu mtu napata wasiwasi na kiwango cha uelewa wake hivi majuzi tumepata wilaya mpya kawahadaa wanyasa wenzangu kuwa ni yeye aliyewezesha wakati sio kweli akakimbilia dar na kuandaa harambee ya kuchangia maendeleo ya wilaya mpya kituko kikubwa eti akamualika Lowassa kuwa mgeni rasmi wa shughuli ile yaani shughuli ya wanyasa mgeni rasmi mmasai sie wenye akili zetu tukajua ni minyukano ndani ya CCm uchaguzi wa 2015 kituko zaidi amechangisha hizo hela wakati hajui zitafanya kazi gani nijuavyo harambee hufanyika baada ya kufanya need assesment ndipo utajua unahitaji kiasi gani naumepungukiwa kiasi gani lakini Komba hakufanya hayo yote na kibaya zaidi fedha alizochangisha kaziweka kwenye akaunti yake nichukue fursa hii kumuambia kuwa aibe za mwishomwisho na asitegemee kupata ubunge 2015 tumeamka na tumejipanga kikamilifu kitendo cha kupigia debe rafiki yake aliyekuwa mkurugenzi wa Mbinga kwenda nyasa (mkurugenzi ni msimamizi wa uchaguzi) hakitamsaidia ajiandae kwenda kuimba kwaya maana ndiko aliko mahiri nawasilisha ....mtufikishie ujumbe kwake kuwa vijana wasomi wa nyasa wamejipanga kuwakomboa ndugu zao maskini