Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
kazi kweli kweli
"Birds of the same feathers flock together"
Yaani ndege wenye mabawa yanayofanana wanaruka pamoja
Huwezi ukakuta kunguru anaruka na njiwa
Sasa ww Boflo unafahamiana na mashoga, lzm na ww utakua naniliu tu!
Kumradhi lkn, nimetania tu...
Kulikiwa na haja gani kuandika kimombo wakati kiswahili unakifahamu 100%.
Its not acceptable ,hakuna mtu atawapangisha mtaleta nuksi na mambo yenu ya ajabuWe have been given 24 hrs to move out of our office because we are Gays , the Landlord came to our office this morning and told us that we can not continue using the office because we promote unacceptable behavior, he also stated that a number of Gay people have been visiting our office.
We urgently need a new office space so that we can continue with our work,
Mdau hapo juu ni mtetezi wa haki, kanitumia huo ujumbe
na akaniomba nimtafutie sehemu ya kupanga aweze kuendelea
na shughuli zake, kama una sehemu unapangisha
ni pm tufanye biashara
Zamani nilikuwa naogopa ukuaji wa mtoto wangu wa kike; lakini sasa napata pressure kote. Naogopa hata kumpeleka mwanangu wa kiume shule ya boarding. Duh! Hii tabia bwana.
We have been given 24 hrs to move out of our office because we are Gays , the Landlord came to our office this morning and told us that we can not continue using the office because we promote unacceptable behavior, he also stated that a number of Gay people have been visiting our office.