Kapeace Kapeace kapeace..

Kapeace Kapeace kapeace..

Mapenzi sanaa na ubunifu sio swaga zilezile za aunt, mamdogo, sister
Hahahahaha kuna mtu aliwai nambia katika wanaume 20 wanaomtokea 19 wanarudia maneno yaleyale utafkr wanaelekezana et kapeace wangu ilo swala lina ukweli?

Afu nkimwaga maneno yangu apa yatawanasa na ambao sio walengwa sitaki uanze kununiwa na akina nanilii
 
Tajirimsomi, nahisi ukifanikisha utasema it was on behalf of.....
 
Wengi swaga ni za aina moja, unajua kabisa kifuatacho hapa ni kuombwa namba baada ya hapo anaanza kumwaga sifa Dada una miguu mizuri ooh macho mazuri najua ninaivyo vzr yan kunisifia tu ivo nikupe tamu ash sahaaaau
 
Haiwezekan kapeace tumetoka mbali kama umefatilia nilipoanza kupost humu uyu kakurupuka tu hana swaga za kumteka Golden lady kama kapeace
 
Hahah apo watoto wa mama lazima uwatese sana kama kutongoza kwenyewe ndo uku bora Ile live and direct ya kikurya
 
Haiwezekan kapeace tumetoka mbali kama umefatilia nilipoanza kupost humu uyu kakurupuka tu hana swaga za kumteka Golden lady kama kapeace
Mkuu, nimevuta taswira naona kama umenisaidia kukimbiza kuku[nadharia] aingie bandani.... [ni nadharia]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom