Kapeace Kapeace kapeace..

Kapeace Kapeace kapeace..

Nampenda kapeace mwanzoni nilikuwa namtamani sema kuna ushuhuda alitoa ikabidi niweke boundary nimebaki kumpenda sana tu
 
Love you too tajirimsomi mtu wangu wa nguvu, unipendae kivyovyote pasi kujali kuna ugumu kiasi gani asante kwa kunipenda
 
kapeace ana hatari huyu mrembo kwa lugha nzuri mitandaoni ile ya kufurahisha kijiwe. Ona sasa jamaa "amekundondokea" hapo kwenye quote mark tamka in sukuma voice.
 
Nakupenda ww tu jf nzima sijapata wa kunikosha kama wewe ndo maana siku hiz najitahid kusoma threads nyingi mradi tu nione kapeace kasemaje

Love you more sweet wang kapeace
 
Nakupa hamu ya kusoma humu kumbe, waoooh that's wonderful asante tena mkuu na Karibuni tuchangamshe jukwaa
 
Ahsante sana kapeace m sio mzuri katika mambo ya kuandika ni mzuri katika kuongea na matendo nkikubananisha maeneo maneno yangu yanaweza badili ratiba yako
 
kapeace ana hatari huyu mrembo kwa lugha nzuri mitandaoni ile ya kufurahisha kijiwe. Ona sasa jamaa "amekundondokea" hapo kwenye quote mark tamka in sukuma voice.
Umenipata fresh huku kitaa hali inakaba na humu nikaze hips zote si zitashuka mkuu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom