Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,095
Mama pita ni user name tu haina ukwel wowote
mmeowana au jamaa alikuwa anakula mzigo?
Mama pita ni user name tu haina ukwel wowote
Tangu nimepata ujauzito mchumba wangu katokea kunichukia hataki hata ukaribu na mimi lakin ukimuomba hela yoyote ile anakupa mi nimeshindwa kumuelewa kapatwa na nini namfanyie nini? Nimejishusha to the maximum ndo kwaanza hata mshipa wa faham haumchezi
Na tangu nimepata ujauzito nimekuwa na mhemuko ( ngenye) wa hali ya juu sana nikimwambia mwenzangu anasema pole. Hata sijui kapatwa nanini jmn.
Ah..! God forbid.
kuwa mvumilivu, kuna wanaume hawajui mwanamke akiwa na ujauzito anabadilika mwonekano na mvuto lakini hii si kwanawake wote.
usijiweke hovyo jitahid uwe msafi na nadhifu kama mwanzoni tafuta muda mzuri kaa naye nunuwa magazine za pregnancy woman aone wanaume wa kizungu wanavyopenda wake zao wakiwa kwenye hali fanya naye utani anajisikiaje kuwa baba mtalajiwa then mweleze hisia zako kwake na nini hupendi na aelewe kipindi hiki ndio anapaswa akuoneshe upendo wa dhati.
vunja ukimya sema naye. ila isijekuwa tu na wewe umejiachia saloon huendi unaishi kwa mazoea tu, hapana jiweke vizuri hata akikuta unaongea na simu aanze kuona wivu.
Hujauona uzi auuu
Tangu nimepata ujauzito mchumba wangu katokea kunichukia hataki hata ukaribu na mimi lakin ukimuomba hela yoyote ile anakupa mi nimeshindwa kumuelewa kapatwa na nini namfanyie nini? Nimejishusha to the maximum ndo kwaanza hata mshipa wa faham haumchezi
Na tangu nimepata ujauzito nimekuwa na mhemuko ( ngenye) wa hali ya juu sana nikimwambia mwenzangu anasema pole. Hata sijui kapatwa nanini jmn.
AF lara 1 anaachaje kukulove saaasa!
Go blaza gooooo
Tangu nimepata ujauzito mchumba wangu katokea kunichukia hataki hata ukaribu na mimi lakin ukimuomba hela yoyote ile anakupa mi nimeshindwa kumuelewa kapatwa na nini namfanyie nini? Nimejishusha to the maximum ndo kwaanza hata mshipa wa faham haumchezi
Na tangu nimepata ujauzito nimekuwa na mhemuko ( ngenye) wa hali ya juu sana nikimwambia mwenzangu anasema pole. Hata sijui kapatwa nanini jmn.
Msukuma
Khaaaaaa, Ntuzu a.k.a baba pita, umeona malalamiko ya mke wako (mama pita), humpi dudu kwa nini?
CC. mwallu, Evelyn Salt njooni huku muone wifi yenu anavyoteswa na kaka yenu!