Kapatwa na nini huyu mwenzangu?

Kapatwa na nini huyu mwenzangu?

mama pita

Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
97
Reaction score
140
Tangu nimepata ujauzito mchumba wangu katokea kunichukia hataki hata ukaribu na mimi lakin ukimuomba hela yoyote ile anakupa mi nimeshindwa kumuelewa kapatwa na nini namfanyie nini? Nimejishusha to the maximum ndo kwaanza hata mshipa wa faham haumchezi
Na tangu nimepata ujauzito nimekuwa na mhemuko ( ngenye) wa hali ya juu sana nikimwambia mwenzangu anasema pole. Hata sijui kapatwa nanini jmn.
 
Sasa unataka tumsaidie jamaa?ishu kama hizi lazima kuna jamaa zenu wa karibu wanaweza solve usiji expose humu watu wana maugwadu yao watakugegeda
 
Hahaaaa! Be patient baby its a normal situation for another man
 
Sasa unataka tumsaidie jamaa?ishu kama hizi lazima kuna jamaa zenu wa karibu wanaweza solve usiji expose humu watu wana maugwadu yao watakugegeda

Hujanielewa ndugu yangu kikubwa nachoshangaa kanichukia kwa ujumla..... hakuna kingine umenielewa vibaya
 
Ni kabila gani huyo ...maana kuna makabila wao mwanamke akishapata ujauzito yeye hujiweka kando mpaka amwachishe mtoto ndio mwanaume anarudia majukumu yake ya kindoa.
 
Msukuma
 
Hujanielewa ndugu yangu kikubwa nachoshangaa kanichukia kwa ujumla..... hakuna kingine umenielewa vibaya
Mwambie mshenga au rafiki yake wa karibu vinginevyo humu ndani kuna watu tofauti wenye interest zao wengine hawajawahi kuonja kitu ya moto ya mjamzito etc...huoni kama unawatega kwa ku expose?
 
bado mdogo sana huo ujauzito, piga dushelele la nje liongeze masikio na pua kwa mtoto, changanya manii ujenge toto zuri.
 
Nimeongea nae anadai hakuna tatizo lakin tangu ninaujauzito wa mwezi mmoja mpaka sasa 5 hakuna maelewano kabisa

kuwa mvumilivu, kuna wanaume hawajui mwanamke akiwa na ujauzito anabadilika mwonekano na mvuto lakini hii si kwanawake wote.

usijiweke hovyo jitahid uwe msafi na nadhifu kama mwanzoni tafuta muda mzuri kaa naye nunuwa magazine za pregnancy woman aone wanaume wa kizungu wanavyopenda wake zao wakiwa kwenye hali fanya naye utani anajisikiaje kuwa baba mtalajiwa then mweleze hisia zako kwake na nini hupendi na aelewe kipindi hiki ndio anapaswa akuoneshe upendo wa dhati.

vunja ukimya sema naye. ila isijekuwa tu na wewe umejiachia saloon huendi unaishi kwa mazoea tu, hapana jiweke vizuri hata akikuta unaongea na simu aanze kuona wivu.
 
kuwa mvumilivu, kuna wanaume hawajui mwanamke akiwa na ujauzito anabadilika mwonekano na mvuto lakini hii si kwanawake wote.

usijiweke hovyo jitahid uwe msafi na nadhifu kama mwanzoni tafuta muda mzuri kaa naye nunuwa magazine za pregnancy woman aone wanaume wa kizungu wanavyopenda wake
zao wakiwa kwenye hali fanya naye utani
anajisikiaje kuwa baba mtalajiwa then mweleze hisia zako kwake na nini hupendi n.
a aelewe kipindi hiki ndio anapaswa
akuoneshe upendo wa dhati.

vunja ukimya sema naye. ila isijekuwa tu na wewe umejiachia saloon huendi unaishi kwa mazoea tu, hapana jiweke vizuri hata akikuta unaongea na simu aanze kuona wivu.

Asante kwa ushauri lakini tunaishi mikoa tofauti hatujaonana tangu mwez wa pil na hataki tuonane
 
Mmnh... Sio vya kucheka ila nimejikuta nacheka ulivyosema ukimwambia una genye anakujibu Polee...Lol
 
Tangu nimepata ujauzito mchumba wangu katokea kunichukia hataki hata ukaribu na mimi lakin ukimuomba hela yoyote ile anakupa mi nimeshindwa kumuelewa kapatwa na nini namfanyie nini? Nimejishusha to the maximum ndo kwaanza hata mshipa wa faham haumchezi
Na tangu nimepata ujauzito nimekuwa na mhemuko ( ngenye) wa hali ya juu sana nikimwambia mwenzangu anasema pole. Hata sijui kapatwa nanini jmn.

Anachepuka huyo, mtafute mmalizane.

Fight for your man
 
Tangu nimepata ujauzito mchumba wangu katokea kunichukia hataki hata ukaribu na mimi lakin ukimuomba hela yoyote ile anakupa mi nimeshindwa kumuelewa kapatwa na nini namfanyie nini? Nimejishusha to the maximum ndo kwaanza hata mshipa wa faham haumchezi
Na tangu nimepata ujauzito nimekuwa na mhemuko ( ngenye) wa hali ya juu sana nikimwambia mwenzangu anasema pole. Hata sijui kapatwa nanini jmn.

Wewe ni mama pita ....

Natumai huyo mwenye huo ujauzito sio baba pita

Sasa inakuwaje unaruhusu ujauzito mwingine nje ya ndoa?

Tena wa mchumba?

Hii wewe unaionaje?

Kwa uzoefu wangu huyo anakumwaga siku sio nyingi

We jiandae tu!
 
Last edited by a moderator:

Mama pita ni user name tu haina ukwel wowote
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom