Kapata Chuo Dodoma Asome Accounts Akiwa Amesoma PCB –Ushauri

Kwaio sisi tunaotembeza ni wapumbavu 🥺
Ni mpumbavu kwani kuna sehemu mliandikishana kama ukimaliza chuo utakiwi kutembeza mboga lazma uajiriwe

Tunasoma tuweze kucontrol mazngira ukiona mazngira ya kuchaguliwa namna ya kuish bas ulifata chet tu sio elimu
 
Naomba kupata mawazo yenu kuhusu hili. Mdogo wangu amefaulu vizuri kidato cha sita akiwa na combination ya PCB, lakini amepangiwa kusoma chuo kimoja huko Dodoma Bachelor of Commerce in Accountancy katika. Hii kozi hakuichagua kabisa.
Aliichagua seran, wewe umejuaje hakuichagua
 
Ingekuwa mimi ningechagua hata kuanza na diploma ya afya(segment ninayoipenda) kuliko kwenda kusoma accounts(kitu ambacho sikipendi).

Elimu ya sasa inasomwa kwa strategy, sio kujiendea tu hasa kama ni mtu anatamani kuja kufanya white-collar jobs.
 
Ohh kuna utofauti kama ukianzia diploma?
 
Kabisa, tofauti lazima iwepo maana kwanza factor ya mda, itamchukua miaka mingi hadi apate degree(nursing) ila atakuwa amesomea kitu anachokitaka.
 
Sasa hivi ana vigezo pia hawezi tu kubadili course bila hii process ya diploma?
 
Back
Top Bottom